Spot the difference

1 mwanamme anaonekana miguu yote na wa pili mmoja tu
2 picha ya mwanzo mwanamke amevaa bangili na ya pili hajavaa kwenye mkono
3 angalia kwenye meza kuna karatasi ambayo picha ya pili huioni
 
mfuko wa kushoto una mistari ya zebra myeusi mitano
ila wa kulia una mistari myeusi minne
 
Miguu ya mwanaume...
karatas kwenye meza..
bangili ya mkonon kwa mdada...
mfuko wa mdada...
mfuko wa mkaka...kuna weupe tofaut
kiti kidogo....ni tofaut na kingine
 
Miguu ya mwanaume...
karatas kwenye meza..
bangili ya mkonon kwa mdada...
mfuko wa mdada...
mfuko wa mkaka...kuna weupe tofaut
kiti kilogo....ni tofaut na kingine
Mkuu naona kama umeziona tofauti nyingi!!
 
1. Kuna meza yenye tishu/hakuna meza yenye tishu
2. Mwanamke ana bangili/ hana bangili
3. Mfuko uliopo kwenye miguu ya mwanamke una "v "nyingi/ mfuko una "v" chache
4. Miguu yote ya mwanaume inaonekana/ mguu mmoja tu ndio unao onekana
5. Mfuko wa mwanaume una vidotidoti vingi vyeupe/ una vidot vichache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…