Sports Bar ya Clouds TV kulikoni?

Likwanda

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
3,910
1,131
Binafsi ni shabiki mkubwa wa michezo hususani mpira wa miguu. Ninasikitishwa sana na hawa ndugu zetu wa Clouds tv kupiti kipindi chao cha Sport Bar kinachorushwa kila J3 saa 4 usiku. Mara nyingi huwa kipindi hakirushwi bila maelezo yoyote kwa watazamaji wao.
Kama mmeshindwa kurusha live basi kipindi kiwe ni korekodi maana sioni sababu yoyote ya kipindi hicho kuwa live wakati hakuna michango yoyote ya watazamaji kupiga simu. Vilevile muda wa saa 4 sio mzuri kama mnaweza mkiweke kuanzia saa 3usiku. Kwakweli mnatuboa sana kwa kutupotezea muda wetu.
 
Usiwalaumu,mbona jana waliweka maelezo ya kuomba samahan mda mfupi kabla ya time ya kipind?Walisema kuna matatizo yapo nje ya uwezo wao labda kama hukuona
 
Kaka sikuona, lakini mi naona kipindi kingekuwa kinarekodiwa matatizo haya singekuwepo.
Usiwalaumu,mbona jana waliweka maelezo ya kuomba samahan mda mfupi kabla ya time ya kipind?Walisema kuna matatizo yapo nje ya uwezo wao labda kama hukuona
 
kwani umelazimishwa kuitazama hiyo tv? hebu toa maoni nini kiboreshwe na nini kiachwe
 
kwani umelazimishwa kuitazama hiyo tv? hebu toa maoni nini kiboreshwe na nini kiachwe
Mbona una hasira ww?? Ameshatoa maoni nini kifanyike....watu wengine sijui mkoje? Amesema aidha waweke saa 3 au warikodi kipindi kuliko kuonyesha live......Jaribu kusoma hadi mwisho thread/post mkuu..
 
Mkubwa umemshauri kitu kizuri sana! Nami naungana na wewe ktk hilo ajaribu kufuatilia na kusoma hadi mwisho, pia tuwe na ile hali ya kiungwana ktk jambo lolote.
 
Hiyo TV mi nilishaachaga kuiangalia kwasababu nikiangalia nitapofuka macho kwa ubovu wake. Mimi huwa naangalia kipindi cha KAMBI KOKOTE tu.
 
Hiyo TV mi nilishaachaga kuiangalia kwasababu nikiangalia nitapofuka macho kwa ubovu wake. Mimi huwa naangalia kipindi cha KAMBI KOKOTE tu.
<br />
<br />

Kipindi cha Sports Bar ni kipindi kizuri sana cha TV cha michezo... shafii/PJ/na yule jamaa ambaye ana sura za 1960'es... wanajitahidi sana...
 
Hiyo TV mi nilishaachaga kuiangalia kwasababu nikiangalia nitapofuka macho kwa ubovu wake. Mimi huwa naangalia kipindi cha KAMBI KOKOTE tu.

........................ (highlited) sasa tushike lipi ? toeni michango vichwa vyenu vikiwa vimetulia !
 
Back
Top Bottom