Spora Liana: RC Arusha aliniomba hongo ya Millioni 100

Spora Liana: RC Arusha aliniomba hongo ya Millioni 100

Katika viongozi wachache WAADILIFU ambao nchi hii imebakiza basi ni pamoja na huyu Mama Liana Spora.

Lakini kwa kuwa RUSHWA ni mfumo wa kitaasisi unaolindwa na serikali ya CCM I'm afraid she is fighting losing war.

Mamalaka inayotakiwa kumuwajibisha huyo RC wa Arusha aliyeomba RUSHWA ya TShs. 100 milioni, ndiyo kinara wa rushwa (kesi ya ngendere kula mahindi kumpelekea tumbili).

The writting is already on the wall, finally mama Liana Spora atakufukuzwa kazi na huyo RC aliyeomba rushwa atatanukiwa cheo! Yangu macho!

Tumbili akija kuulizwa utamsikia anangoja sekretarieti ya maadili ichukue hatua kwa kuwa yeye hana mamlaka ya kuingilia utaratibu wa sekretarieti! Hii nchi inaharibiwa na tuliowapa dhamana ya kuilinda
 
Nchi hii ni ya ajabu sana watu waadilifu wanakandamizwa na kunyimwa uwezo wa kufanya kazi zao kwa uadilifu, hutu mama hapendi rushwa wala kujilimbikizia mali, alivyokuwepo Arusha wala hakukuwa na migogoro na wamachinga baada ya kuwapa utaratibu wa kufanya biashara zao, Magesa alizoea kula heala za jiji huyu mama kaziba mianya hiyo Magesa akaanza kumfanyia fitina mama wa watu. Huyu mama ndio alihakikisha haki inatendeka kwenye uchaguzi wa madiwani BILA RUSHWA WALA UCHAKACHUAJI NA HAPO NDIO CHADEMA IKAPATA VIT 4 CCM 0. hilo halikuwafurahisha mafisadi na kuamua kumuondoa Arusha haraka. lakini dhambi ni mbaya hapo ni mwanzo tu wa kutoa uchafu wa magesa tutasikia mengi. Jamaa kichwani mtupu kabisa kazi kula rushwa na kukenua meno nje tu. Anafanya kazi ya kupambana na chadema tu.
 
Niliambiwa mapato ya Jiji la Arusha yalipanda sana kipindi akiwa mkurugenzi nikashangaa sana akahamishwa haraka.
 
Nchi yangu naichukia kwasababu watu wanaopenda haki wananyanyaswa bila sababu.
 
hahaaaaa,kwa kuamishwa kwake kutoka mkuranga imeonyesha jinsi gani mafisadi walivyo na nguvu,inanikumbusha mama Amina said alivyoondolewa bagamoyo,JK watu kama liana unatakiwa uwalinde

JK awalinde tena, ebooo. Huyu mama baada ya kumkamatisha mbunge wa MaCCM hela za moto akahamishwa, baada ya kumnyima hela za bure Muhongo kule Arusha akahamishwa tena. Unadhani anavyoamishwa JK anakuwa ziarani marekani kila wakati? Unadhani fisadi Pinda anakuwa hajui kinachoendelea. Kuutoa mfumo fisadi lazima kuendane na kuitoa CCM
 
Nitashanga kama hiyo Tume ikimfumbia macho RC Magesa, kwa kuhusishwa na Rushwa.

Tume hii, itaeleweka kwa umma kama ikiwa inatoa adhabu kali kwa makosa hayo.

Mara nyingi hutoa ONYO kali, kitu ambacho tume nayo inaonekana kama wale wale.
 
Hivi ule usemi wa ''Eti JK anaangushwa na wasaidizi wake uliishia wapi?
 
CCM haitaki mtu muadilifu!Jairo na ulaji rushwa wote yupo manyara anatesa
 
Karibuni hapa uwanja wa ALLY HASSAN MWINYI--- TABORAAAAAA. wenye nchi tunapiga kazi. Nyie endeleeni na kupoteza muda kwa keyboards
 
Katika viongozi wachache WAADILIFU ambao nchi hii imebakiza basi ni pamoja na huyu Mama Liana Spora.

Lakini kwa kuwa RUSHWA ni mfumo wa kitaasisi unaolindwa na serikali ya CCM I'm afraid she is fighting losing war.

Mamalaka inayotakiwa kumuwajibisha huyo RC wa Arusha aliyeomba RUSHWA ya TShs. 100 milioni, ndiyo kinara wa rushwa (kesi ya ngendere kula mahindi kumpelekea tumbili).

The writting is already on the wall, finally mama Liana Spora atakufukuzwa kazi na huyo RC aliyeomba rushwa atatanukiwa cheo! Yangu macho!

Nchi ambayo wanapongezwa watenda maovu na kuadhibiwa watenda mema
 
Huyu mama tumewahi kumsifia sana utendaji kazi wake humu.....inaonesha ni mtu safi kweli kweli .....
 
Imebidi hawa mafisadi wa TAMISEMI wamuondoe huyu mama na kumpeleka bench Dodoma kwani alikuwa anawazibia ulaji wao!!
 
Back
Top Bottom