Mkuu bila shaka wewe mtoto wa kiume..yaani komaa haya maisha hayana formulae sometimes nenda hata kwenye balozi za china, south Korea, USA unaweza pewa jibu positive or negative lakini usijali hapo ni kufight tu... ila hapa bongo wachache sana wanaweza kukuelewa