Spika wa Bunge: Siogopi hoja ya kung'olewa!

Spika wa Bunge: Siogopi hoja ya kung'olewa!

Ndiyo maana bungeni wamejaa maDr,maProf,walimu,waganga wa kienyeji,wachungaji na wengineo walioacha fani zao,kumbe dili.Miposho ya kufa mtu,misalary minono(haitoshi hata hivyo)na muda ukimalizika unakula mtaji 72milion ukirudi poa usiporudi poa,maisha yanaenda.

Kuna pia Ma-DJ wa muziki na Majambazi wazoefu.
 
Huyu naye mhuni angetuambia kwa nini wanalipwa hiyo posho yawezekana wao wanakaa vikao vingi kuliko kamati zingine au kunajambo lingine limezingatiwa huwezi kusema wanalipwa halafu unaacha hoja inaelea tu.

Hivi lini tutaondoa utando katika bongo zetu na kuachana na ufisadi wa inachoitwa posho za vikao? Mshahra ni wa nini?, hizi ni mentality zinazoharibu hii nchi, Kigwangala ni zao la ukoo wa panya si kwamba ana uchungu na pesa za walipa kodi. Wabunge wote wa CCM wanataka mishahara na posho viongezeke ili wapate kianzio cha kuwahonga wananchi uchaguzi ujao
 
Hizi tarakimu tokea juzi haziwekwi sasa hivi viwango ni kwa kamati nzima au posho kwa kila mjumbe wa kamati?

430,000 ni wajumbe wa kamati ya bajeti chini ya Andrew Chenge.

130,000 ni posho ya wajumbe wengine kama kina Zitto. Ndio maana Lema roho inamuuma..
 
Wamtoe tu, mama angu huyu jimboni hua hakanyagi yaan ndani ya miaka mitano anaweza tokea mara mbili kwa miaka yote mitano
 
Spika wa Bunge, Anne Makinda amesema hatishwi na mchakato wa kumng'oa katika nafasi yake.

Mchakato huo umeanzishwa na Mbunge wa Nzega, Dr Khamis Kigwangalla kutokana na tuhuma za kukiuka kanuni za Bunge.

Hamis Kigwangala?? Yule mwanafunzi wa zamani wa shule ya msingi Kitongo pale Nzega? Ooh samahani kumbe siku hizi ni daktari na mheshimiwa mbunge wa jimbo la Nzega kupitia chama tawala. Eti nini? Anataka spika wa chama tawala aondoke madarakani? Ni kweli ameamua kufanya hivyo kwa dhamira yake mwenyewe, au anatumiwa na wapinzani? Mmh, hapana, mbona hana rekodi za kushirikiana na wapinzani tofauti na kuwabeza. Aaaah, sawa, nimekumbuka, yuko kwenye kundi kundi moja la kuusaka urais mwaka 2015, na bila shaka anatekeleza moja ya majukumu aliyotumwa.
 
acheni walipwe hiyo mihela. huku majimboni wao ndio ma atm zinawatoka sana aisee nyie jaribuni ubunge muone haya mambo.
 
Kama haogopi kwa nini kaongea, angepiga kimya tu...
 
Wamtoe tu, mama angu huyu jimboni hua hakanyagi yaan ndani ya miaka mitano anaweza tokea mara mbili kwa miaka yote mitano

Alishasema hagombei tena, kwa hiyo wakati huu kabla ya 2015 ndio muda wa kumalizia mambo yake yote yaliyokwama.
 
Huyu madam analeta hadithi ya sungura, SIZITAKI MBICHI HIZI!
 
Kuna pia Ma-DJ wa muziki na Majambazi wazoefu.
Ni nchi yao pia.....na labda hawa ndio wataijenga baada ya tunaowaita wasomi kuishia kutumika kama watoto wa primary wanavyotumika kwenye maandamano ya kupokea mwenge.... makinda ang'oke tu hana msaada
 
niko tayari kuchangia pesa ( kama zitahitajika ) ili kuwezesha mchakato wa kumg'oa , nipeni utaratibu .
 
Acha upimbi wewe wameanguka kina gadafi itashindikana ccm....kopo la chooni wewe
simtishi namshauri tu, ni sawa na kuamuka kukata tawi ulikokalia - mti utabaki (ccm na makinda) tawi utandondoka nalo na mbaya zaidi unaweza kuvunjika mgongo, kiuno, mguu au mkono. Ya nini yote haya, kama unaona kuna madhaifu njoo upande wa pili tuongeze nguvu kama wewe ni mwanaume!! Vita vya ndani kwa ndani viliwashinda wakongwe wewe utaviweza sheikhe!!
 
Wewe kweli mkorosho na haujasoma japo tupo upande mmoja wa kuikosoa ccm ila mwanangu hesabu hujui hata kujumlisha hata kuhesabu hela hujui na hata kueleza hujui na hata kuainisha hujui sasa take home ya mwalimu wa digrii ndio nini mwalimu mwenye digrii au anaefundisha wanaowania digrii?makalio wewe kichwa upepo...na hesabu umekosa nenda remidio....ila hoja yako ni kweli hiyo hela ni nyingi sana per day ikiwa kazi yao ndio hiyo waifanyayo ya vikao plas marupu rupu na mshahara na posho...na wengine ni vilaza na wezi tuu kumamae zao
430,000+43,000=473,000/= ambayo ni take home ya mwalim wa degree
 
Wewe kweli mkorosho na haujasoma japo tupo upande mmoja wa kuikosoa ccm ila mwanangu hesabu hujui hata kujumlisha hata kuhesabu hela hujui na hata kueleza hujui na hata kuainisha hujui sasa take home ya mwalimu wa digrii ndio nini mwalimu mwenye digrii au anaefundisha wanaowania digrii?makalio wewe kichwa upepo...na hesabu umekosa nenda remidio....ila hoja yako ni kweli hiyo hela ni nyingi sana per day ikiwa kazi yao ndio hiyo waifanyayo ya vikao plas marupu rupu na mshahara na posho...na wengine ni vilaza na wezi tuu kumamae zao

Duuh, mbona mkali hivyo?
Wewe Mwl nini?
 
Back
Top Bottom