NKUU SINDE KWETU
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 830
- 91
- Thread starter
- #41
niko tayari kuchangia pesa ( kama zitahitajika ) ili kuwezesha mchakato wa kumg'oa , nipeni utaratibu .
Mchangie Lema ambae anadai posho haitoshi!
niko tayari kuchangia pesa ( kama zitahitajika ) ili kuwezesha mchakato wa kumg'oa , nipeni utaratibu .
Anaitwa Dr. Vitumbuaa.... Anatafuta chai!Mambo ya kijinga tu, hivi unaamini huo upuuzu wa Kigangala...
Hivi lini tutaondoa utando katika bongo zetu na kuachana na ufisadi wa inachoitwa posho za vikao? Mshahra ni wa nini?, hizi ni mentality zinazoharibu hii nchi, Kigwangala ni zao la ukoo wa panya si kwamba ana uchungu na pesa za walipa kodi. Wabunge wote wa CCM wanataka mishahara na posho viongezeke ili wapate kianzio cha kuwahonga wananchi uchaguzi ujao
Wamtoe tu, mama angu huyu jimboni hua hakanyagi yaan ndani ya miaka mitano anaweza tokea mara mbili kwa miaka yote mitano
acheni walipwe hiyo mihela. huku majimboni wao ndio ma atm zinawatoka sana aisee nyie jaribuni ubunge muone haya mambo.
Hana wasi wasi si anajua majembe(CHADEMA) bado wanatafakari.........
Mchangie Lema ambae anadai posho haitoshi!