Kyv si mchezo, putin alinusa pua akarudi nyuma.kyiv itakuwa imewekwa no fly zone kwa sasa hawaogopi midege ya Putin
Kyv si mchezo, putin alinusa pua akarudi nyuma.kyiv itakuwa imewekwa no fly zone kwa sasa hawaogopi midege ya Putin
Hahahahaaahahahahaha... viongozi wakitembelea Kyiv anga lote linakuwa under full control; vyombo vya warusi vinaona maruweruwe; hata direction ya Kyiv vinaipoteza.
Kaka hizo howitzer hatariiiiKuna taarifa moja ilionesha askari wa marekani walioko poland wanaangalia mwenendo wote wa vita inayoendelea ndani ya ukraine. Hapa ngoja tuone nani bingwa wa propaganda na hujuma maana beberu ameamua ku battle na Russia. Howtzer pieces inashushwa huko , maana yake vikosi vya Russia vitaanza kupigwa ni mizinga ya marekani, under this section super power ataonekana japo mmoja ameshatishia kunya
Napenda sana wabongo walivyo wajuaji kuliko hata NATOKuna taarifa moja ilionesha askari wa marekani walioko poland wanaangalia mwenendo wote wa vita inayoendelea ndani ya ukraine. Hapa ngoja tuone nani bingwa wa propaganda na hujuma maana beberu ameamua ku battle na Russia. Howtzer pieces inashushwa huko , maana yake vikosi vya Russia vitaanza kupigwa ni mizinga ya marekani, under this section super power ataonekana japo mmoja ameshatishia kunya
Wachaa weeee!!!... viongozi wakitembelea Kyiv anga lote linakuwa under full control; vyombo vya warusi vinaona maruweruwe; hata direction ya Kyiv vinaipoteza.
Haiwez kutokeaWakati anazunguka zunguka hapo kyv ningependa Putin atupe kama missile 2 hivi za nguvu kumaliza hiki kiherere cha kutembelea uwanja wa vita.
Kbx hap Kiev kn no fly zone angalia viongozi ote wakubwa wanajidai hap bla hofu yeytkyiv itakuwa imewekwa no fly zone kwa sasa hawaogopi midege ya Putin
... viongozi wakitembelea Kyiv anga lote linakuwa under full control; vyombo vya warusi vinaona maruweruwe; hata direction ya Kyiv vinaipoteza.
... kila kitu kiko under control directly from Pentagon. Wakati President Biden akitangaza kupeleka vifaa vya kudungulia ndege Ukraine pembeni yake alikuwa kasimama Chairman of the Chiefs of Joint Staff General Mark Milley nikajua ohoo hii shughuli sio ya kitoto kama tulivyodhania imekuwa ya kikubwa sasa.Uko sahih mkuu hap no fly zone inahusika angalia viongozi ote wakubwa walotembelea hap na kujidai bla hofu yeyt
Wewe una akili kama SA 100 MBOVUKejeli zako sio poa kuna watu wanaopenda kusoma maoni mazuri yenye staha hata kama hukubaliani nayo.
Marekani haipendi kabisa Umoja wa Ulaya (EU) na ndio sababu mara kadhaa anatumia Uingereza kuidhoofisha kwa kuwashawishi wasitumie sarafu moja, isitumike policy moja ya masoko na Ajira n.k
Sikubaliani na hivi observation yako ,mbona Marekani wamewaunga mkono sana hawa EU hasa wakati wa utawala wa Democrats!! Kumbukwa wakati wa Obama Serikali ya Marekani ilikuwa inapinga wazo la UK kujitoa kwenye umoja wa Ulaya!!
... kila kitu kiko under control directly from Pentagon. Wakati President Biden akitangaza kupeleka vifaa vya kudungulia ndege Ukraine pembeni yake alikuwa kasimama Chairman of the Chiefs of Joint Staff General Mark Milley nikajua ohoo hii shughuli sio ya kitoto kama tulivyodhania imekuwa ya kikubwa sasa.