Spika tusaidie kujua CCM ilifanya vikao lini kumfukuza Nyalandu

Siasa bhana inanifanya nifurahi sana hvi tumekaa hapa tukitegemea kua maswali hayo yote na hoja zilizoibuliwa kwamba kuna mtu atakuja kukjibu na wala haitobadikisha hali halisi ya kua nyarandu hayupo tena ccm cha msingi ni kwamba wanaccm wenyewe waombe kupata taarfa sahihi juu ya nini kilichotokea kupelekea razaro kung'atuka chamani hizi blah blah tunazopiga mtandaoni inawezekana zikakosa mtu wa kujibu
Ila jf naipenda sana hiki ni kisima cha maarifa kwa hakika kila kitu utapata humu
 
Halafu mtu kama Ndugai akifa kwa jinsi watanzania mlivyo wanafiki mnakimbia mbio kuja kuandika R.I.P mnajua hata Mungu huwa anabaki kuwashangaeni. Taarifa kama hizo mnatakiwa kuzisoma na kupita kimya bila ya ku comment kitu. Hizo R.I.P zenu zinamfanya Mungu 'kuji feel guilty'.
 
Waulize CCM wenyewe. Spika atajuaje? Ninachodhani ndiyo kilitokea ni kwamba Nyalandu alinusanusa, akatonywa na mamluki waliomo CCM kuwa kafukuzwa CCM. Ofkozi kwa kuwalipa chochotekitu, ila ni akili majinuni inayokimbilia Press Conference kabla hujaaga rasmi. Mwadilifu angejiuzulu kwanza, akaandika barua rasmi, akakaa wiki walau mbili tatu, halafu ndiyo uitishe Press. Why did he kurupuka?

Naamini kabisa alitonywa na wanoko, wakamlia hela yake, akaona bora ajibaraguze eti kajiuzulu kumbe si lolote si chochote, kafukuzwa. Sasa anatembea huku kavaa kofia ya mfukuzwa. Itabidi akabizi mali ya Chama kwanza. Jamaa wa CHADEMA kama wana akili wasimpokee kichwa kichwa, watawajibik kwa wale twiga na fisi anaodaiwa mitandaoni waliibwa kwa ruhusa ya Nyalandu wapelekwe Ukraine.
Kwani akiwa Chadema anakuwa na kinga ya kutoshitakiwa??!!!
 
Pale kwenye mnara wa babiloni Mungu alipoona ule ujenzi wake haukuwa wa nia njema aliamua kuwaharibia lugha. Huyu akaongea kinyakyusa huyu kijaluo. Ujenzi ukasimama. Hapo ndipo tulipofika kwa sasa
 
Mkuu, hivi mnajuaje hoja kama ni ya mtu wa ccm au chadema au .... Tusio na vyama tunapata shida wapi tuwe!
Kumbuka hata maandiko matakatifu yanatukataza kuwa vuguvugu, yatupasa kuchagua sehemu moja , either joto au baridi.

Neutrality ni element ya undumila kuwili. Kwa maana Hiyo siku nyingine usiseme sina chama.
 
Back
Top Bottom