Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,941
- 103,297
Waulize CCM wenyewe. Spika atajuaje? Ninachodhani ndiyo kilitokea ni kwamba Nyalandu alinusanusa, akatonywa na mamluki waliomo CCM kuwa kafukuzwa CCM. Ofkozi kwa kuwalipa chochotekitu, ila ni akili majinuni inayokimbilia Press Conference kabla hujaaga rasmi. Mwadilifu angejiuzulu kwanza, akaandika barua rasmi, akakaa wiki walau mbili tatu, halafu ndiyo uitishe Press. Why did he kurupuka?
Naamini kabisa alitonywa na wanoko, wakamlia hela yake, akaona bora ajibaraguze eti kajiuzulu kumbe si lolote si chochote, kafukuzwa. Sasa anatembea huku kavaa kofia ya mfukuzwa. Itabidi akabizi mali ya Chama kwanza. Jamaa wa CHADEMA kama wana akili wasimpokee kichwa kichwa, watawajibik kwa wale twiga na fisi anaodaiwa mitandaoni waliibwa kwa ruhusa ya Nyalandu wapelekwe Ukraine.
Hao twiga na fisi waliibwa juzi alivyojitoa ccm? Simtetei Nyalandu ila ccm kinaendesha siasa za kishamba sana, mnachukua hatua mtu akiondoka , mlikuwa wapi wakati mnasema mahakama ya mafisadi haina wateja? Si bure kutumia pipe ndio imekuwa njia bora ya kujibu hoja.