1. Weka hadharani ripoti ya Richmond hasa ule upande uliouzuia kuiokoa Serikali.
2. Tujuze Watanzania kuhusu ule unga wa Bungeni.
3. Waeleze wazi kuwa huzitaki siasa za majitaka.
4. Pambana na mafisadi popote pale hasa wanaotaka kuiuza nchi yetu.
5. Weka wazi zile kashfa za meremeta,kagoda na tangold ulizozizuia Bungeni.
6............
Hivi kwani lazima Spika awe Sitta??no way he has to go ni MNAFIKI sana huyu mzee..i Hate him..ni mara 100 chenge awe spika kuliko sitta..huyu si ndo kajenga ofisi ya spika kwa 500m
sitta ni vugu vugu na anastahili kabisa kutapikwa! Kwangu mimi ni heri anngie chenge ili wananchi twende msituni kudai nchi yetu kuliko watu kama wakina sitta ambao wanataka kuendeleza mambo yale yale!
Jasiri kati ya hao waliochukua fomu sioni!bora abakie sitta kuliko huyo chengeUzuri wa Sitta ni upi?
Naona ana unafiki vile, EPA aliitupilia mbali. Richmond issue imeisha hivi hivi.
Spika si lazima awe Sitta anaweza kuwa mtu mwingine ambaye ni jasiri zaidi ya Samwel Sitta aliyetishwa na chama chake, na akanywea.
Hivi kwani lazima Spika awe Sitta??no way he has to go ni MNAFIKI sana huyu mzee..i Hate him..ni mara 100 chenge awe spika kuliko sitta..huyu si ndo kajenga ofisi ya spika kwa 500m
Ni kweli bora Sitta kuliko Chenge.naskia harufu ya ukweli (japo napenda Sita awe spika kuliko Chenge)
Sitta ni Vugu vugu na anastahili kabisa kutapikwa! Kwangu mimi ni heri anngie chenge ili wananchi twende msituni kudai nchi yetu kuliko watu kama wakina sitta ambao wanataka kuendeleza mambo yale yale!
it is a nonsense .......... Not almost...............unaona n heri aingie chenge ili mwende msituni, are you serious? Nchi imeporwa imebaki na mashimo tupu, wahindi wanagawana urithi wetu mchana kweupe, still unangoja chenge awe spika ndipo uende mstuni, i could almost call it a nonsense!
Kwa hilo Sitta bado ni afadhali, Mbona ofisi ya spika ni bei kidogo ssana! na zile za Gavana wa BOT ilikuwa ngapi vile? Billion na watu walitetea.Hivi kwani lazima Spika awe Sitta??no way he has to go ni MNAFIKI sana huyu mzee..i Hate him..ni mara 100 chenge awe spika kuliko sitta..huyu si ndo kajenga ofisi ya spika kwa 500m
Ni kweli bora Sitta kuliko Chenge.