peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,927
- 21,588
Tanzania kwenye ulipwaji wa mishahara kuna serikali nyingi.Spika Ndugai ameshangazwa na serikali kuwalipa mishahara mikubwa wakurugenzi wa mamlaka ya maji na ile ya barabara za vijijini ambayo ni zaidi ya mishahara wanayolipwa Wakurugenzi wa wilaya.
Ndugai amesema hayo akimuunga mkono mbunge wa Gairo mh Shabiby aliyedai wakurugenzi wa Tarura na Ruwasa wamejigeuza miungu watu.
Ramadhan Kareem!