johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,968
- 141,976
Tujikumbushe;
1. Tundu Lissu alitunguliwa marisasi akiwa anahudhuria vikao vya bunge.
2. Kitwanga alitumbuliwa baada ya kuingia bungeni akiwa amelewa chakari
3. Bunge lilimuhoji CAG na kumkagua
4. Nassari alifukuzwa ubunge kwa kosa la kumsindikiza mkewe kujifungua
5. Wabunge zaidi ya 10 wametumikia vyama viwili katika bunge moja
6. Mchungaji maarufu Dr. Rwakatare kafa wakati wa vikao vya bunge
7. Kachero mbobezi na mwanadiplomasia nguli Dr Mahiga amefariki wakati wa vikao vya bunge
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!