Spika Ndugai asipokuwa makini bunge " lake" linaweza kuweka Historia hasi ya ajabu kabisa duniani

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,598
141,415
Tujikumbushe;

1. Tundu Lissu alitunguliwa marisasi akiwa anahudhuria vikao vya bunge.

2. Kitwanga alitumbuliwa baada ya kuingia bungeni akiwa amelewa chakari

3. Bunge lilimuhoji CAG na kumkagua

4. Nassari alifukuzwa ubunge kwa kosa la kumsindikiza mkewe kujifungua

5. Wabunge zaidi ya 10 wametumikia vyama viwili katika bunge moja

6. Mchungaji maarufu Dr. Rwakatare kafa wakati wa vikao vya bunge

7. Kachero mbobezi na mwanadiplomasia nguli Dr Mahiga amefariki wakati wa vikao vya bunge

Niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hizo zote ni porojo tu. Bunge la Spika Job Ndugai lipo imara sana.

Linaisimamia serikali vizuri,hata Paschal Mayalla anajua hili baada ya kulituhumu kuwa ni bunge dhaifu,alipewa mualiko pale mjengoni kuona ukali na umathubuti wa bunge.

Sent using iphone pro max
 
Tujikumbushe;

1. Tundu Lisu alitunguliwa marisasi akiwa anahudhuria vikao vya bunge.

2. Kitwanga alitumbuliwa baada ya kuingia bungeni akiwa amelewa chakari

3. Bunge lilimuhoji CAG na kumkagua

4. Nassari alifukuzwa ubunge kwa kosa la kumsindikiza mkewe kujifungua

5. Wabunge zaidi ya 10 wametumikia vyama viwili katika bunge moja

6. Mchungaji maarufu Dr Rwakatare kafa wakati wa vikao vya bunge

7. Kachero mbobezi na mwanadiplomasia nguli Dr Mahiga amefariki wakati wa vikao vya ......bunge

Niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
Yohana mbatizaji. Tunapolaumu muwe mnawaelewa wenye mawazo tofauti.

Nimekuepo tangu wakati wa mwl, sijawahi kusikia spika anayeagizwa kuwashughulikia wabunge wanaoibana serikali , SIJAWAHI. Isipokuwa Ndugai

Odhis *
 
Sijui kama subwoofer atachomoa na hii corona.
Damu ya Lissu inamlilia na zuluma walizomfanyia
 
Walishaandika historia mbaya na chafu dhidi ya TUNDU LISSU mwenye akili timamu na mtetezi wa kweli wa watz wamebaki maccm yasiyo na maana yoyote zaidi ya kulenga kuchota posho......
 
Yohana mbatizaji. Tunapolaumu muwe mnawaelewa wenye mawazo tofauti.

Nimekuepo tangu wakati wa mwl, sijawahi kusikia spika anayeagizwa kuwashughulikia wabunge wanaoibana serikali , SIJAWAHI. Isipokuwa Ndugai

Odhis *
Jaduong, Wabunge wasaliti? Au wanaoibana serikali? Maana inasemekana wasaliti huwa wanapigwa risasi hata vitani na hii ni principle inayotumika dunia nzima.
 
Back
Top Bottom