Spika na kiinglish

Spika na kiinglish

tz1

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
2,121
Reaction score
536
Hi story tulikuwa tuna ambiwa zamani tukiwa watoto sina uhakika kama ni ya ukweli.
Spika Marehemu Adam sapi Alikuwa anaongea kwenye mkutano wa UN wakati sauzi
Afrika haijapata Uhuru,akasema.
I am very mbifile kuhusu south Africa.
Mbifile ki hehe ni "kuchukia"
Watu mkutanoni wakaanza kupekua dictionary kutafuta "mbifile"inamaana gani.
 
dah mkutano gani watu wanaenda na madictionary
 
Hi story tulikuwa tuna ambiwa zamani tukiwa watoto sina uhakika kama ni ya ukweli. Spika Marehemu Adam sapi Alikuwa anaongea kwenye mkutano wa UN wakati sauzi Afrika haijapata Uhuru,akasema. I am very mbifile kuhusu south Africa. Mbifile ki hehe ni "kuchukia" Watu mkutanoni wakaanza kupekua dictionary kutafuta "mbifile"inamaana gani.
Si vizuri kuwasema watu tunaowaheshimu na ambao ni marehemu.Mtoa mada angeondoa jina la huyo spika na kuweka jingine la kubuni nakuedit vitu vingine, hii thread ingekuwa ok sana.
 
Nilidhani unamzungumzia spika wa sasa bi Kiroboto.


Bwa haha..... Unakumbuka siku ya budget speech ( 2011), mama alipojipinda na kuwakaribisha mabalozi?.......... May you arise?........."Tafadhali simameni"
 
Back
Top Bottom