Waziri Lukuvi amesimama kuliomba Bunge litengue kifungu cha 11 kuruhusu wagombea watatu badala ya sita.
Hoja ya Mhe. Raya imepita na imefanyiwa kazi.
Uchaguzi unaendelea!.
Ni ubabe ubabe tu kazi anayo mpaka miaka 5 iishe...Spika Makinda ameshindwa kabisa kazi...Masikini Anna!
Anambembeleza Wenje,
Wenje anawithdraw neno Dark Market na kusema White Market.
Mbunge kaomba kutoa hoja, Spika kagoma kasema kutoa hoja
Uchaguzi uendelee.
Naam sasa ishakuwa kama bunge la Kenya,ni kati PNU na ODM, tuendelee enheAnna Makinda anazungumza kwa hasira sana, yuko too emotional, anamshambulia Mbunge Raya, ametangaza kidikteta uchaguzi unaendelea.
Wabunge walia Wenje atoke nje.
Wenje ang'ang'a hafuti, Wabunge wa CCM wataka atoke, upinzani wajibu hatoki mtu.
Bunge Kituko!
wabunge wa SADCUchaguzi wa nini?
Kwa wenye access ya TV, watch TBC live, Spika Mama Makinda anachezea kibano kuhusu kanuni!
Sio siri, Spika Mama Makinda, Bunge linamshinda!
shit....Nitamwambia mbunge wangu awe anaingia na viwembe......lolWenje angeendelea kukataa 2one. Et mmoja akasema 2funge milango 2pigane!. Du hii ningeipendaaa!
Duh, Makinda kiboko yaani wenje amekuwa mdogo kama pilton