Spika Makinda achezea Kibano - Bungeni Live!

Spika Makinda achezea Kibano - Bungeni Live!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
57,229
Reaction score
128,996
Kwa wenye access ya TV, watch TBC live, Spika Mama Makinda anachezea kibano kuhusu kanuni!
Sio siri, Spika Mama Makinda, Bunge linamshinda!
 
Spika amesimama kuwaamuru wote wakae chini. Wenje aiita kamati ya uongozi kuiita dark market. Wenje ametakiwa kuliondoa neno hilo, amegoma. Mwanasheria Mkuu atishia nguvu ya sajent of arms kumtoa Wenje nje, Zitto anaongea na tusubiri, Zitto anamtetea Wenje,
Asisitiza sio sahihi kumuita sajenti of arms.
 
Duu...tujuze zaid wakuu wengine hatuna access na tv zetu...
 
Anna Makinda anazungumza kwa hasira sana, yuko too emotional, anamshambulia Mbunge Raya, ametangaza kidikteta uchaguzi unaendelea.
Wabunge walia Wenje atoke nje.
Wenje ang'ang'a hafuti, Wabunge wa CCM wataka atoke, upinzani wajibu hatoki mtu.
Bunge Kituko!
 
Wenje ame-withdraw 'DARK MARKET' anasema 'WHITE MARKET'

Bunge linaendelea, Waziri Lukuvi anatoa hoja ya kutengua Kifungu 11 (a, b, & c) cha kanuni ili majina matatu badala ya 6 yapigiwe kura. Bunge limepitisha!

Naona ushabiki ulitawala suala la Mh. Wenje na 'black market'
 
Spika Makinda ameshindwa kabisa kazi...Masikini Anna!
Anambembeleza Wenje,
Wenje anawithdraw neno Dark Market na kusema White Market.
Mbunge kaomba kutoa hoja, Spika kagoma kasema kutoa hoja
Uchaguzi uendelee.
 
Waziri Lukuvi amesimama kuliomba Bunge litengue kifungu cha 11 kuruhusu wagombea watatu badala ya sita.
Hoja ya Mhe. Raya imepita na imefanyiwa kazi.

Uchaguzi unaendelea!.
 
Mama Makinda anataka kuendesha bunge kama darasa la chekechea.

Na bado...mpaka tufike hapa ndio watu watashika adabu!
 

Attachments

  • standalone.jpg
    standalone.jpg
    27.3 KB · Views: 177
  • taiwan-parliament-fight.jpg
    taiwan-parliament-fight.jpg
    37.9 KB · Views: 277
  • parliament_fight_south_korea_1.jpg
    parliament_fight_south_korea_1.jpg
    21.5 KB · Views: 159
  • untitled.bmp
    untitled.bmp
    148.2 KB · Views: 74
Back
Top Bottom