Spika Job Ndugai yuko serious au analinda tonge?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,502
Reaction score
911,255
Maswali aliyokuwa akijiuliza Spika wa Bunge yaani yanatia mashaka makubwa aidha anajifanya kasahau au ni mbumbumbu na kwa hiyo hana kumbukumbu ama ni mkakati wa kumtetea bosi ambaye haheshimu mikataba ambayo serikali hii hii ya CCM ilisaini.

Maamuzi mengi ya hii serikali aidha ni ya kukurupuka na hivyo kuiweka serikali mazingira ya kushitakiwa mahakamani na kuishia kulipizwa mabilioni ya mapesa.

Sijui nako huku wana mgao wao hata sielewi kwanini wanatutumbukiza kwenye migogoro na wawekezaji kutokana na kukiuka mikataba waliosaini wao wenyewe bila hata kutushirikisha.

Kwa ambao hawakumsikia Ndugai alidai kuuliza kama Sera walizozipitisha huku akinukuu kifungu akidai zinaihitaji serikali kujenga mazingira madini kusafishwa nchini ili kuyaongeza thamani hayo yanahusika vipi na kuhalalisha kukiuka mikataba na wachimbaji wenye vibali vyote kusafirisha mchanga nje ukasafishiwe huko?

Wapo watumishi wa umma kutoka TRA na wizara ya madini huko Sauzi full masinonda na kazi yao ni uhakiki uwingi wa dhahabu iliyosafishwa kwa minajili ya kulipa kodi.

La ajabu, Ndugai alisema Bunge litataka kujua uhakiki wa huo mchanga kujua serikali inapata nini!

Haohao akina Ndugai ndiyo siku zote wamekuwa mstari wa mbele kutetea usiri wa mikataba leo wanadai wanataka uwazi na kushirikishwa!

Kuhusu gharama za kusafirisha na kusafisha huondolewa kwenye mahesabu hizo ndizo sheria ambazo Bunge lilidai ni mazingira mazuri ya kuwavuta wawekezaji leo imekuwa nongwa lipi limebadilika.

Jibu la hii sakata ni tozo za madini ambayo hayajasafishwa zilipaswa ziwe sawa na tozo za madini ysliyosafishwa.

Akiamua mwekezaji kuubeba mchanga atajijua mwenyewe sisi tunatoza kabeba mzigo uliosafishwa sasa aamue kusafisha mwenyewe au alipe zaidi.

Utaratibu huu ungelituondolea mapunjo ya kuwaamini watumishi wasio waaminifu kuripoti visivyo na kutuachia maumivu, kulipia gharama za kusafirisha mchanga na kuisafisha nje ya nchi na mengineyo.

Haya yote, Ndugai na wenzie huko Bungeni siyo kuwa hawayajui bali wametaruhusu ili wachimbaji waweze kuwakatia mlo wa kampeni za uchaguzi zetu.

Sasa wameshinda lakini madudu ya hizo dhuluma ni mzimu wao siyo wetu hatuhusiki na mwiba uingiliako lazima utokee kulekule ulikoingilia.

Spika Ndugai rekebisheni sheria acheni kujiuliza maswali ya jela.
 
binafsi amenishanfaza sana kwa suala la kusafirishwa kwa mchanga limeanza leo? na kwanini mara baada ya mkuu wa nchi kupiga stop kusafirishwa kwa mchanga ndio job aonekane anaongea wakat bungeni walipitisha sheria zao za ovyo mali yetu inapotea kwa sheria ambazo hata hazitusaidii, job ana nidhamu ya uoga hapo analinda kibarua chake tu lakn watanzania sio mbumbumbu kihvyo, hata wabunge wenyewe ni majipu. Haiwezekani watu wasafirishe mchanga kwa gharama kubwa alafu tudanganywe et ni mchanga tu nani angethubutu kuharibu gharama zake kubwa kwa mchanga.
 
Mkuu huu wa ndugai ni UNAFIKI tu ina maana miaka yote hiyo alikuwa hajui kuwa mchanga unaenda nje . hayo maswali kwanini hakujiuliza huko nyuma . hili ni continuation ya mpango mzima wa kuhakikisha raia tunatolewa kwenye sakata la Koromije kwa njia na gharama yoyote . unadhani tume teule itagharimu kiasi gani. hivi kweli ilikuwa ni ishu ya kumfanya SPIKA atoke safari na moja kwa moja aende BANDARINI!!! alichokifanya kingeweza tu kufanywa na mwenyekiti wa kamati
 
Mnaota. Amiri jeshi mkuu wa JMT ni John pombe Joseph magufuli 2015 mpka 2020.
Na mnafikiri 2020 ni mbali?
Akiponea mashambulizi ya bunge, ana miaka miwili tu ya kumalizia udikteta wake na kama peace maker yake itakuwa haija expire
 
MMEANZA KUTOKA POVU SASA , NYIE MLIFIKIRI BUNGE HALIMPI USHIRIKIANO RAIS, SERIKALI , BUNGE ,MAHAKAMA VINAFANYA KAZI PAMOJA , WATU MSIO NA DIRA NYIE , KELELE ZENU ZINATIA KICHEFU CHEFU , TANGIA RAIS AAPISHWE HADI LEO MNAWAZA MAWAZO HEWA ,FANYENI KAZI. ACHENI RAIS AINYOOSHE NCHI .
 
Huyu bwana tangia alipomcharaza bakora mwenzie na kuzimia sababu ya kura za maoni niliapa kuwa sitaliamini lolote litokalo kinywani mwake!
 
binafsi amenishanfaza sana kwa suala la kusafirishwa kwa mchanga limeanza leo? na kwanini mara baada ya mkuu wa nchi kupiga stop kusafirishwa kwa mchanga ndio job aonekane anaongea wakat bungeni walipitisha sheria zao za ovyo mali yetu inapotea kwa sheria ambazo hata hazitusaidii, job ana nidhamu ya uoga hapo analinda kibarua chake tu lakn watanzania sio mbumbumbu kihvyo, hata wabunge wenyewe ni majipu. Haiwezekani watu wasafirishe mchanga kwa gharama kubwa alafu tudanganywe et ni mchanga tu nani angethubutu kuharibu gharama zake kubwa kwa mchanga.
Nguvu yao iko NEC kutangaza wameshinda na kura kuzichakachua waonavyo yafaa.
 
Mkuu huu wa ndugai ni UNAFIKI tu ina maana miaka yote hiyo alikuwa hajui kuwa mchanga unaenda nje . hayo maswali kwanini hakujiuliza huko nyuma . hili ni continuation ya mpango mzima wa kuhakikisha raia tunatolewa kwenye sakata la Koromije kwa njia na gharama yoyote . unadhani tume teule itagharimu kiasi gani. hivi kweli ilikuwa ni ishu ya kumfanya SPIKA atoke safari na moja kwa moja aende BANDARINI!!! alichokifanya kingeweza tu kufanywa na mwenyekiti wa kamati
Ni kweli kabisa. Na maswali yake ni malalamiko kwa kazi aliyoshiriki kuifanya
 
Na bado wakiambiwa walete walekebishe mikataba huko bungeni watakataa.
Kwenye kusafirisha mchanga nje hatuhitaji hata kujua hilo bali warekebishe sheria ya kodi tu.

Mchanga wa madini utozwe bei moja na madini yaliyosafishwa. Mchezo inaishia papo hapo.

Asafirishe au asafishie nchini mchimbaji atajijua sisi tunaendelea na makamuzi.
 
MMEANZA KUTOKA POVU SASA , NYIE MLIFIKIRI BUNGE HALIMPI USHIRIKIANO RAIS, SERIKALI , BUNGE ,MAHAKAMA VINAFANYA KAZI PAMOJA , WATU MSIO NA DIRA NYIE , KELELE ZENU ZINATIA KICHEFU CHEFU , TANGIA RAIS AAPISHWE HADI LEO MNAWAZA MAWAZO HEWA ,FANYENI KAZI. ACHENI RAIS AINYOOSHE NCHI .
Kuna kunyoosha nchi kwa kukiuka mikataba ya wachimbaji au kumlinda Bashite na vyeti vya kughushi?
 
Matatizo yetu yote siyo Raisi Bali ni kuwa na bunge mbovu kabisa
Bunge limekamatwa na chama tawala. Sita nina lilikatwa alipojitutumua na huyu Ndugai analamba Viatu vya bosi wa chama ili ikifika 2020 asikatwe jina lake ndo maana haya madudu anayatetea
 
Back
Top Bottom