Spika Job Ndugai: Matatizo yetu na Prof. Mussa Assad ni kutuita dhaifu, alitakiwa ajiuzulu. Hatuna tatizo na ripoti yake, tutaifanyia kazi

Ndugai bila shaka ni mtu mwenye akili ndogo sana, anayechelewa kuelewa.

Baada ya kuoeoerushwa kama unyiya kutoka kwenye nafasi aliyokuwa nayo, nadhani atakuwa amejua kuwa Bunge na spika ni dhaifu kwa kiwango gani.
 
Hivi kati ya Ndugai na CAG nani wa kujiuzulu, jamaa anatamani amtandike Fimbo ya kichwa kama alivyofanya kwenye kampeni za uchaguzi kwa kumdunda Yule Dr fimbo ya Kichwa hadi akazimia..
Washauri wakae karibu nae kama hayuko sawa kiakili
Mmoja aliondolewa... Mwingine akajiuzulu Over
 
Back
Top Bottom