Naona unakubaliana na CAG kimtindo!Hapo ndipo tatizo huwa linaanzia kwa hawa viongozi wetu. Haiwezekani kiongozi unatoa tamko bila kwanza kujiridhisha. Angeuliza kwanza akapata taarifa ya kutosha kwa nini serikali imeamua kuzuia.
Lakini ni kawaida ya CCM kutengeneza tatizo halafu kuja kulitatua karibu na kampeni tena kwa mbwembwe.Kumbe alikuwa anaropoka bila kuuona mkataba
Angeusomea wapi?!Huyu spika hovyo kabisa, bora angekaa kimya afiche ujinga wake. Eti hakuuona mkataba kwa cheo chake ni upumbavu kutokusoma mkataba ambao bunge lilitakiwa kuuridhia.