mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,203
- 44,650
Bandari ya bagamoyo ingekuwa kubwa Africa mashariki na kati.
Na viwanda vya kumwaga TU. Bagamoyo yetu ingekuwa kama dar.
Tatizo hayo masharti.
Ngoja raia waanze kuvamia mashamba. Maana mradi ushakufaa
Na viwanda vya kumwaga TU. Bagamoyo yetu ingekuwa kama dar.
Tatizo hayo masharti.
Ngoja raia waanze kuvamia mashamba. Maana mradi ushakufaa
Faida gani alizoangalia wakati tayari tuna bandari kubwa 3 yaani Dsm, Tanga na Mtwara?
Spika unaongeaje bila utafiti wala data?!!!