wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,171
- 1,130
Karibu sana mheshimiwa maana akiyekaimu kiti chako hataki suluhu na mtu neno lake ndo sheria na ole wako upinge itakuwa muhari
Usipime maji kwa kidole. sijakitaja chama ila msimamo wangu si kwa ndugai tu, hata kwa Zitto, Hamad hata na mwingine yeyote yule, suala la ukuu wa chama sijawahi kuwa mshabiki wake. Nilipata nafasi kulisema mbele ya Kolimba hata kumwambia Mangula. Ukuu wa chama ni ujinga katika siasa na linakwaza sana maendeleo ya nchi.Kigoma kaskazini ina wakazi zaid ya elf 76 lakin hamkulizingatia hilo 2013 na ule haukuwa Ujinga! Nyani haonagi Tigo yake!
kwani wewe unafikiri mtu kujua tofauti ya corporate tax na vat ndio kasoma sana?Ukawa walionekana wapuuzi sababu wengi wetu ni slow thinkers lakini muda sio mrefu tutawaelewa hasa tutakapogundua kuwa Dr wa PhD hajui kutofautisha corporate tax na VAT!
cc: The Boss
Mkuu hapa hadanganywi mtukweli kabisa na sasa hivi hata watu was rika la chini nao wametambuka balaa humwingiz mkenge mtu tena watu wako makini sana.
Aliniwacha hoi alipo lazimisha kuitwa mheshimiwaKaribu sana mheshimiwa maana akiyekaimu kiti chako hataki suluhu na mtu neno lake ndo sheria na ole wako upinge itakuwa muhari
Utasemaje kuhusu Mwakyembe, huoni kuwa ndiyo Tatizo limeongezeka?Nachoamini ukeugua homa yoyote ile unakuwa na upendo baada ya kupona au kupata nafuu. Hili nimeliona pia kwa Ndugai...namuomba Allah akuponye haraka.
Hujamuelewa alichoandika mdau! Unaelewa kinajoendelea kwenye miamala ya Mitandao ya Simu pamoja na Benki? Kaa Kimya mnatia hasira tu kwa kukurupukia usilolijua.kwani wewe unafikiri mtu kujua tofauti ya corporate tax na vat ndio kasoma sana?
It is very true.Nikweli usemayo lkn sasa kama unapewa vitu 2 vya kuchagua utafanyaje?
Siyo wote.Utasemaje kuhusu Mwakyembe, huoni kuwa ndiyo Tatizo limeongezeka?
Kweli kabisa ndugai ana kaunafuu angalau ka uzoefu na kujiamini maana hadi kufikia pale katokea jimboni hadi hapo mjengoni kuliko hao wa kuteuliwa siku hiyo na kupewa kadi ya chama siku hiyo hiyoIt is very true.
Ukiambiwa ufanye comparison kati ya Ndugai na huyo mdada mteule wa JPM aliyeteuliwa uNaibu katika hali ya utata, utarealize kuwa huyo Ndugai yuko much better than huyo mdada.......
Hebu nitoe mifano miwili kuthibitisha kauli yangu.
Yule Mbunge wa Ulanga alipotoa tuhuma nzito kabisa zisizo na ushahidi kuwa wabunge wote wa viti maalum wa Chadema wamepata nafasi hizo baada ya kufanya 'ubebi' na mabosi wao, huyo mdada alikuwa akjchekelea tu na wala hakutaka hata kumwomba huyo Mbunge aliyotoa kauli hiyo kuifuta.
Walipofukuzwa wanachuo wa UDOM na kupewa masaa 24 kuondoka chuoni kwa kile kilichoelezwa kuwa ni vi..... laza, huyo mdada alikataa kulijadili hilo suala kama hoja ya dharura kwa maelekezo ya 'Bosi' wake......
Sasa watamalizaje bila wahusika wote kuhudhuria?Aangalie mtego ulipo, kama anataka kukaa ili kujadili pamoja na ukawa Tulia asiwepo maana anaweza kususiwa kikao!!! Mbaya zaidi ikiwa tulia ndio anakuwa wa mwisho kufika kikaoni na ukawa wananyanyuka na kuwaachia ukumbi wa mkutano.
Maana wameapa kutokuwa mkutanoni na Tulia.