Spika Job Ndugai afunguka, aahidi kukaa chini na UKAWA

Spika Job Ndugai afunguka, aahidi kukaa chini na UKAWA

Yupo Live Azam Two.Anaongea kwa busara na lugha ya kutaka maridhiano.

Huyu ni Kiongozi
 
Spika huwa anabusara anaelement za uongozi huwa anabalance
 
Ndugai sio Mnafiki! Na anajua Mamlaka ya Mhimili wa Bunge Namwombea Mungu apone Kabisa, Labda ataiokoa Nchi na Huu wazimu wa Nanihii.
 
Tatizo ni pale tena anapokuwa kinyonga baadae, ndiyo shida. Lakini anatoa maneno ya busara sana!
 
Mteule atafanya kazi ya aliye mteua tu na kazi elekezi hapa Ndugai usikwepeshe sheria na katiba ya mteule itakuwa ni aliyemteua tu.
Haiwezekani huyu dada akapeleka pesa ukulu pasipokuwa na majadiliano ya Bunge...
Ni hivi kuna Watz.tuna akili sana tofauti mfikiriavyo labda ya kuwa ninyi hapo kuwa bungeni mnaakili kushinda sisi..no....no...tunajua mengi sana hata mengine msiyoyajua ninyi.
 
Back
Top Bottom