Ungejibu kwa kusema kuwa "Amesha edit"Dogo nadhani ugeni wako humu unakusumbua... Hiyo Heading mods pekee ndio wanaweza rekebisha..
So washafanya kazi yao.. Ila mtoa mada alidiliki kumuita job ndugai kuwa ni naibu spika. Nadhani hukuona mapema thread hii..sikutaka kuicopy ili uwe ushahidi sababu no need. Ila kwako wacha nikuwekee ukisearch Google haifutiki
Naibu Spika Job Ndugai afunguka, aahidi kukaa chini na UKAWA ...
www.jamiiforums.com › threads › naibu-...
Mobile-friendly - 3 hours ago - Akijibu Maswali yamoja kwa moja ya Mwandishi wa habari, Spika wa Tanzania Job ...
Unaweza ukawa msomi wa juu na mbobevu ktk sheria na masuala ya utawala na uuonhoz lkn kama ulimi wako hauna uchaguzi wa nini cha kuongea na kama ufahamu wako haujajaa hekima, busara na maarifa kuongoza ni kugumu sana aisee.
Kwa wale wazazi wanalijua hili kuwa sheria na ukali wa wazazi kwa watoto huwa hakusaidii sana ktk malezi na maelekezi kwa watoto.Asilimia kubwa ya watoto wakaidi, sugu na walioshindikana ni wale ambao walibanwa na sheria hadi wamekuwa sugu.
Uongozi ni hekima,busara na maarifa. Kuna mahali ukiaply sheria panakataa unatakiwa utumie hekima na busara. Na ndio hata sala inayotumika kila asb kabla ya bunge letu kuanza.
Mhe Spika Job Ndugai heri wapatanishi maana hao wataitwa wana wa Mungu. Mungu akusaidie uwaweke watoto (wabunge) wako pamoja. Ni kweli una mitoto mingine mitundu kweli kweli mle ndani lkn baba mwenye hekima huwasahihisha,huwavumilia, huwakemea na wakati mwingine huwachapa bakora lakini yote haya ni kwa nia ya kuwarudi na kuwaweka pamoja.
Nakuombea Mungu ili akupe hekima na busara katika kuwaleta pamoja wanao hawa. Wewe ni baba wa wote Mungu akusaidie uwalete wanao pamoja
Mkuu tulia na malizia tu sentesi yako "labda.........wazimu wa nanihii". Hahaha.Ndugai sio Mnafiki! Na anajua Mamlaka ya Mhimili wa Bunge Namwombea Mungu apone Kabisa, Labda ataiokoa Nchi na Huu wazimu wa Nanihii.
Ameeleza na ile ya sasa, I mean ile ambayo haijapitwa na wakati?Tactic ya wapinzani kutoka nje ya bunge imepitwa na wakati- Ndugai
Corporate Tax vs VAT! Duh Phd za Bongo zinatia kichefuchefu aisee!Ukawa walionekana wapuuzi sababu wengi wetu ni slow thinkers lakini muda sio mrefu tutawaelewa hasa tutakapogundua kuwa Dr wa PhD hajui kutofautisha corporate tax na VAT!
cc: The Boss
Uko sahihi kabisa, yani ni ngumu kufanya tofauti na aliyekuteua. Watu wameshasahau zile siku mbili za mikikimikiki, unavua uana sheria asubuhi, unateuliwa kuwa mbunge na kabla huja apa unachukua fomu na jioni unakuwa Naibu Spika, hii weeeeengi wameshaisahau inabidi kuwakumbusha.Mteule atafanya kazi ya aliye mteua tu na kazi elekezi hapa Ndugai usikwepeshe sheria na katiba ya mteule itakuwa ni aliyemteua tu.
Haiwezekani huyu dada akapeleka pesa ukulu pasipokuwa na majadiliano ya Bunge...
Ni hivi kuna Watz.tuna akili sana tofauti mfikiriavyo labda ya kuwa ninyi hapo kuwa bungeni mnaakili kushinda sisi..no....no...tunajua mengi sana hata mengine msiyoyajua ninyi.
Hehehehe.Ukawa walionekana wapuuzi sababu wengi wetu ni slow thinkers lakini muda sio mrefu tutawaelewa hasa tutakapogundua kuwa Dr wa PhD hajui kutofautisha corporate tax na VAT!
cc: The Boss
kwa hiyo hawatokaa kutaka kumaliza tofauti zao na Tulia hata kama Tulia atakuwa tayari kupatanishwa nao? Mbona sasa unakuwa kama mchezo wa kitotot? Wanasiasa huwa wanapatanishwa ..Aangalie mtego ulipo, kama anataka kukaa ili kujadili pamoja na ukawa Tulia asiwepo maana anaweza kususiwa kikao!!! Mbaya zaidi ikiwa tulia ndio anakuwa wa mwisho kufika kikaoni na ukawa wananyanyuka na kuwaachia ukumbi wa mkutano.
Maana wameapa kutokuwa mkutanoni na Tulia.
Bila mihemko, nahitaj leo tuzungumze hili jambo!Spika huwa anabusara anaelement za uongozi huwa anabalance