Huyu mama anatamani yani wabunge wachadema wote awatoe nje!
Katika mpangilio wa kiutawala wajinga hawapaswi kupewa nafasi ya kutawala, wakipewa matokeo yake huwa kama unayoyaona ivi leo! chama kinachoongozwa na raisi dhaifu, mawaziri wajinga wajinga, wabunge wehuwehu wasiojua nini maana ya kuwa mbunge!
ni aibu na ni hasara sana, ona leo mpaka Masele anawaza kuwa raisi,makamba anawaza kuwa raisi, membe nae walewale.
hii inatokana na kuona kuwa inawezekana maana top aliepo ni mwenye akili zinazofanana na zao
jamani msimlaumu tatizo hana mume nyie mnamuona yuko normal? miaka 68 hajapata wa kuzeeka naye zaidi ya kuiba wanaume za watu
CCM ilifanya makosa makubwa kumuacha Samuel Sitta (Speed and Standard!) na kutuwekea "Kituko" hiki! Kinalalamika ovyo bila kujua kinalalamikia nini, ilimradi kikwaze wapinzani.
hawa CCM wajidai wanaakili sana wamempa uyu mama makusudi wakijua ni dhaifu ili wao waponeoko ,adhambi yao ww utabaki uyu mama mjinga kweli uku hoja za msingi zikipita kim zaha zaha tu kama ilivyo tokea leo uyu mama alivyoona lukuvi kasimama tu akaunga tela kwa sababu nai kada mwenzie hawezi kumwangusha ndo maana yamemtokea puani halafu mbaya zaidi haka ka mama hakana aya ni kakauzu kweiliIngekuwa amri yake asingekubali bunge lionyeshwe live kwenye tv. Ukiona MCCM anachangia hata kama ni pumba anaachwa aseme hadi mwisho lakini kama ni wa upinzani unakuta anaanza kukatizwa hata kama hajamalizia sentensi. Mama badala ya kupata heshima unayodai unajiongezea aibu na dharau kwa wengi wanaoangalia mwenendo wa bunge. Jaribu kuwa fair katika kuongoza mojadala kuthibitisha vinginevyo.
Msg could not work out, ukifika mjengoni halafu ukampa za uso itanoga zaidi. Yuko kwa maslahi ya chama.Naomba namba yake nami nimtumie kulalamika kuwa yeye ndio kituko kikubwa bungeni
Msg could not work out, ukifika mjengoni halafu ukampa za uso itanoga zaidi. Yuko kwa maslahi ya chama.
jamani msimlaumu tatizo hana mume nyie mnamuona yuko normal? miaka 68 hajapata wa kuzeeka naye zaidi ya kuiba wanaume za watu
Labda kama atakimbilia kwao Yakobi Njombe ambako hawana umeme wala maji safi tangu uhuru. Pamoja na kwamba nguzo za umeme zinapita kama mita 200 kutoka Uwemba kuelekea Luponde mashamba ya chai kijijini kwa Makinda Semamba hakuna umeme. Anaroho mbaya mnoo!!!!Huyu Mama simpendi sababu moja amekubali kutumika na mafisadi kwa manufaa ya mafisadi!!ana roho mbaya sana anadhani nyinyiem itadumu milele!atashangaa watakimbia wote hao subiri tu muda waja!!!vijana wote wajipange ajili ya ubunge 2015 kutoa uozo wote uliopo mjengoni!!
Aiseeeeeee!!!! Umenifanya nifikirie Kama angekuwa kazaa mtoto na Wassira au Kova the Great sijui huyo kiumbe angepelekwa mbuga gani,Serengeti au Mikumi?jamani msimlaumu tatizo hana mume nyie mnamuona yuko normal? miaka 68 hajapata wa kuzeeka naye zaidi ya kuiba wanaume za watu
kilichotokea leo bungen kimedhihirisha udhaifu,ushamba na-ccm uliojaa katika kichwa cha huyu mama,
kadhihirisha kuwa alipewa uspika kwakuwa alikuwa na jinsia tofauti na wagombea wengine na si kwa uwezo,elimu na uzoefu alionao!
Bunge la sasa lenye wasomi wengi tena kutoka upinzani hai (cdm) halikupaswa kuongozwa na huyu mama! Huyu mama ni moja ya majanga ya taifa hili huyu mama nikama redio kaseti katika huu ulimwengu wa ipod na ipad!
Kilichotokea leo bungen kimedhihirisha udhaifu,ushamba na-CCM uliojaa katika kichwa cha huyu mama,
kadhihirisha kuwa alipewa uspika kwakuwa alikuwa na jinsia tofauti na wagombea wengine na si kwa uwezo,elimu na uzoefu alionao!
Bunge la sasa lenye wasomi wengi tena kutoka upinzani hai (CDM) halikupaswa kuongozwa na huyu mama! Huyu mama ni moja ya majanga ya taifa hili huyu mama nikama redio kaseti katika huu ulimwengu wa ipod na ipad!
Huyu mama ni sawa na floppy dissket katika ulimwengu wa dvd's na USB stick huyu mama kwa maana nyingine yeye anazungumza 1950 wakati sisi tunazungumza 2012 hiyo tofauti ndio inamfanya aonekane kituko