Spika Anna Makinda afiwa na Mama yake mzazi

Pole Mama Makinda. Mwenyezi Mungu Ailaze Pema Peponi Roho ya Mzazi Wako. Amina.

Steve Dii
 
Mnampa pole Spika mimi simpi pole soma nilichoandika.



Wapi nimefanya jazba?



Wapi nimeandiki kuhusu huyu bibi? Nimeandika kuhusu Spika.



Wacha kuweka maneno yako kwenye kinywa changu.




Kama wa kwako.

kama wa baba yako.
 
Unafiki wa JF kila uchwao tunalalamika kwamba huyu mama spika hana huruma na malalamiko ya Watanzania na yuko kwenye kundi la mafisadi katika kuona keki ya Taifa inaliwa na wenye meno makali leo mnaanza kutoa pole za kinafiki S t u p i d i d i o t s. Unafiki mtupu!

Wale wanaokufa kila siku kwenye ajali na magonjwa ambayo yangeweza kabisa kutibika lakini kwa sababu ya watu kama Makinda wanatumia rasilmali za taifa kwenye matumbo yao bila kujali watoto wa nchi hii Je?

Hakuna pole hapa ndio afahamu pamoja na kula keki ya taifa kwa dhambi hawataweza kuishi milele hapa duniani.

mkuu punguza munkari.
 
Its bad news! But good news is that KURA MOJA YA CCM INAPUNGUA


kwa umri wa makinda, sidhani kama huyo mama yake alikuwa na uwezo wa kushiriki masuala ya kijamii kutokana na uzee... ila mleta maada angetujuza ka historia kidogo cha huyo bibi mfano: age na masuala mengine kama anayafahamu/ameyasikia
 
Back
Top Bottom