Spika Anna Makinda afiwa na Mama yake mzazi

AK-47

JF-Expert Member
Nov 12, 2009
1,373
199
Spika wa Bunge la Tanzania Mh. Anna Makinda amepata msiba wa mama yake mzazi Tulakala Milia Sanyuha uliotokea leo mchana katika hospitali ya mkoa ya Dodoma. Taarifa za kifo zimethibitishwa na Katibu wa Bunge Dk. Thomas Kashilila. Mungu Ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi Amina.
 
Spika wa Bunge la Tanzania Mh. Anna Makinda amepata msiba wa mama yake mzazi Tulakala Milia Sanyuha uliotokea leo mchana katika hospitali ya mkoa ya Dodoma. Taarifa za kifo zimethibitishwa na Katibu wa Bunge Bw. Kashilila. Mungu Ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi Amina.
Pole nyingi kwa familia hii!
Suala la msiba ni la tofauti, na hivyo Mama Anna tunaungana nawe katika kuomboleza msiba wa Mama yetu.
Mungu ailaze pema peponi roho ya Marehemu Mama yako!
Aaamen!
 
Kama ni taarifa zenye uhakika.Nampa pole sana Mama Makinda.Mwenyezi Mungu ampe nguvu na faraja wakati huu mgumu kwake yeye na familia yake.

May you Rest In Peace bibi yetu Tulakala Milia Sanyuha.Umetangulia mbele ya haki nasi tupo safarini
 
pumzika kwa amani bibi yangu TULAKALA ...mhh lakini bana mwanao huyu basi tu mambo haya ni ya msiba si vizuri kusema...
 
Pole sana kwa msiba wa bibi mh. Spika, nadhani atakuwa amekupa ushauri kidogo juu ya kuishi na watu from her last words!
 
Unafiki wa JF kila uchwao tunalalamika kwamba huyu mama spika hana huruma na malalamiko ya Watanzania na yuko kwenye kundi la mafisadi katika kuona keki ya Taifa inaliwa na wenye meno makali leo mnaanza kutoa pole za kinafiki S t u p i d i d i o t s. Unafiki mtupu!

Wale wanaokufa kila siku kwenye ajali na magonjwa ambayo yangeweza kabisa kutibika lakini kwa sababu ya watu kama Makinda wanatumia rasilmali za taifa kwenye matumbo yao bila kujali watoto wa nchi hii Je?

Hakuna pole hapa ndio afahamu pamoja na kula keki ya taifa kwa dhambi hawataweza kuishi milele hapa duniani.
 
Sasa huyo bibi wa watu marehemu anahusikaje na tuhuma hizo ndugu yangu?
 
unafiki wa jf kila uchwao tunalalamika kwamba huyu mama spika hana huruma na malalamiko ya watanzania na yuko kwenye kundi la mafisadi katika kuona keki ya taifa inaliwa na wenye meno makali leo mnaanza kutoa pole za kinafiki s t u p i d i d i o t s. Unafiki mtupu!

wale wanaokufa kila siku kwenye ajali na magonjwa ambayo yangeweza kabisa kutibika lakini kwa sababu ya watu kama makinda wanatumia rasilmali za taifa kwenye matumbo yao bila kujali watoto wa nchi hii je?

hakuna pole hapa ndio afahamu pamoja na kula keki ya taifa kwa dhambi hawataweza kuishi milele hapa duniani.

bro punguza jazba. Huu ni msiba wa bibi
 
Unafiki wa JF kila uchwao tunalalamika kwamba huyu mama spika hana huruma na malalamiko ya Watanzania na yuko kwenye kundi la mafisadi katika kuona keki ya Taifa inaliwa na wenye meno makali leo mnaanza kutoa pole za kinafiki S t u p i d i d i o t s. Unafiki mtupu!

Wale wanaokufa kila siku kwenye ajali na magonjwa ambayo yangeweza kabisa kutibika lakini kwa sababu ya watu kama Makinda wanatumia rasilmali za taifa kwenye matumbo yao bila kujali watoto wa nchi hii Je?

Hakuna pole hapa ndio afahamu pamoja na kula keki ya taifa kwa dhambi hawataweza kuishi milele hapa duniani.

Mmmhhhhhhh............

You need the Holy Spirit...

Wacha....Huyu bibi kakukosea nini kwani?....

R.I.P bibi Tulakala Milia Sanyuha.....Raha ya milele umpe ee bwana na Mwanga wa milele umuangazie bibi yetu,apumzike kwa amani......Amina
 
Back
Top Bottom