Amoeba
JF-Expert Member
- Aug 20, 2009
- 3,289
- 781
Wakuu, ni dhahiri kuwa Mh Makinda ameshindwa kuendesha bunge kwa Misingi ya Haki, ama kwa kutojua au kwa maslahi ya kundi flani. Mienendo ya spika kuwakingika kifua Mawaziri na watendaji wakuu wa Serikali wasihojiwe na Wabunge ili kuonesha uwajibifu wao katika kulinda na kutetea maslahi ya wananchi i suala hojifu ambalo kimsingi linampunguzia au kumwondolea kabia credibility, na ni ukweli ulio wazi kwamba huyu mama yuko incopetent katika nafasi yake.
Swali la MSingi;
Je, katika hali kama hii kuna jinsi yoyote ya kumuwajibisha spika?
Natumaini humu kuna wabobezi wa mambo ya siasa na uongozi, watatupatia MUONGOZO kisheria.
Nawasilisha.
Swali la MSingi;
Je, katika hali kama hii kuna jinsi yoyote ya kumuwajibisha spika?
Natumaini humu kuna wabobezi wa mambo ya siasa na uongozi, watatupatia MUONGOZO kisheria.
Nawasilisha.