Spika alimaanisha nini aliposema Makonda ana nguvu? Nini ukubwa wa nguvu zake?

Na mimi swali nalojiuliza ni pale aliposena.

"Natamani ningefunguka zaidi.." sijui alimaanisha nini
 
Mkuu wewe tatizo lako na Makonda ni la muda mrefu mno, tunakuelewa.

Inaonekana mlikosana huko chuoni, naona unaendeleza chuki kwake mpaka sasa.

Punguza nyongo kwa afya mkuu.
 
Mkuu wewe tatizo lako na Makonda ni la muda mrefu mno, tunakuelewa.

Inaonekana mlikosana huko chuoni, naona unaendeleza chuki kwake mpaka sasa.

Punguza nyongo kwa afya mkuu.
Kwa wewe sitasema chochote maana wewe bila huyo Makonda ni sawa na uhesabiwe umekufa.
We pambania ugali wala sikuingilii.
I deal with open minded people
 
Wewe unadhani mtu wa kuamua tu ghafla tena kwenye nkutano kuwa "naenda Misri kesho" na akapata ruhusa, visa, ticket, booking za hotel ni ntu wa nchezo nchezo!?
 
Ha ha ha.. Tambo na uwezo wa Ndugayy unaishia kwa CAG, na wabunge wa upinzani, kwa Bashite amekwaa kisiki.. Kwa Bashite, Ndugayy ni kama kichunguu kilicholoa maji, kinamong'onyoka chenyewe kabla ya kuguswa.. Ndugayy hana uwezo wa kumfanya chochote, kumuita Dodoma, wala kumuadhibu..

Simpendi sana Bashite, ila kwa hili nimefurahi Ndugayy amekutana na jabali
Mbona alishaitwa kwenye kamati.
 
Mbona alishaitwa kwenye kamati.
Kisha ukasikia nini..?

CAG umesikia kilichomkuta, wabunge wa upinzani umewasikia kilichowapata..

Haya Bashite ulisikia kimempata nini baada ya kujadiliwa huko kwa kamati..?
 
Naanza kuamini ule usemi wa dada wa taifa kuwaaaa mr bashiii ndo anawajua wazee wa kazi/ufundi wa mzeee
 
Nguvu ya spika wa bunge ni kubwa na hili wala sihitaji kuelezea!
Sasa Spika anaposema mkuu wa mkoa wa DSM ana nguvu hapo ndio mimi sielewi kabisa!
Labda kama wadau mtanielewesha...

Kwamba imefika mahali Makonda ana paralize system ya uongozi wa nchi?
Rais anamuagiza Makonda akaihamasishe timu na spika anamuagiza waziri akasimamie timu. Hivi what was that?
Makonda anaitisha kikao na timu, hivi waziri anaingia hichi kikao kama nani?
Mjumbe au?

Tumeshageuza nchi kuwa kitu cha ajabu ambacho labda watu kama Kabudi tu ndio wanaelewa tunakoelekea.

Mimi nilidhani tunapiga hatua kutoka uongozi wa Kikwete kwa kuboresha taasisi na kuzipa nguvu ila nguvu kubwa sana imetumika kuparalize hizo taasisi na CCM ikiwepo.

Ukiangalia kwa umakini hata CCM kama taasisi iko in disarray. Mwenye nguvu ni Mwenyekiti pamoja na Makonda.
This alarm should be enough. Think people, think!

Ukiambiwa Jiwe kashika Bunge zima kwa matako,Ndu-guy anakataa na macho kuyatoa pima!

Keshaolewa huyo yakhee!

Asubiri kupigwa mashine tu usiku na mchana,aache kulalama,alikubali kuolewa!
 
Wivu wa nini sasa!
Naweza kuwa na ving'ombe na mbuzi nilivyotafuta kwa shida ila vikadumu mpaka nikaviacha urithi.
Mali alizo nazo Makonda zaweza kupotea kesho kama harufu ya perfume!
Ukiona hivyo ujue hiyo perfume yako ni fake. Pole.
 
Back
Top Bottom