Spika alimaanisha nini aliposema Makonda ana nguvu? Nini ukubwa wa nguvu zake?

Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
4,239
9,527
Nguvu ya spika wa bunge ni kubwa na hili wala sihitaji kuelezea!
Sasa Spika anaposema mkuu wa mkoa wa DSM ana nguvu hapo ndio mimi sielewi kabisa!
Labda kama wadau mtanielewesha...

Kwamba imefika mahali Makonda ana paralize system ya uongozi wa nchi?
Rais anamuagiza Makonda akaihamasishe timu na spika anamuagiza waziri akasimamie timu. Hivi what was that?
Makonda anaitisha kikao na timu, hivi waziri anaingia hichi kikao kama nani?
Mjumbe au?

Tumeshageuza nchi kuwa kitu cha ajabu ambacho labda watu kama Kabudi tu ndio wanaelewa tunakoelekea.

Mimi nilidhani tunapiga hatua kutoka uongozi wa Kikwete kwa kuboresha taasisi na kuzipa nguvu ila nguvu kubwa sana imetumika kuparalize hizo taasisi na CCM ikiwepo.

Ukiangalia kwa umakini hata CCM kama taasisi iko in disarray. Mwenye nguvu ni Mwenyekiti pamoja na Makonda.
This alarm should be enough. Think people, think!
 
Akisema naomba kwenda Misri anapewa, Akisema ondoka madarakani unaondoka, mimi nikiomba u DC kesho napata, nk Akisema naomba umtumbue huyu anatumbuliwa hizo ni baadhi Ya nguvu alizonazo, Akisema daddy is coming, tumeona
 
Ndugai mchochezi! Maguuuuuu muone spika mchochezi anamsema makonda eti kakudanganya hajawapa vijana wa Mpira milioni alizowahiidi!
 
Nguvu ya spika wa bunge ni kubwa na hili wala sihitaji kuelezea!
Sasa Spika anaposema mkuu wa mkoa wa DSM ana nguvu hapo ndio mimi sielewi kabisa!
Labda kama wadau mtanielewesha...

Kwamba imefika mahali Makonda ana paralize system ya uongozi wa nchi?
Rais anamuagiza Makonda akaihamasishe timu na spika anamuagiza waziri akasimamie timu. Hivi what was that?
Makonda anaitisha kikao na timu, hivi waziri anaingia hichi kikao kama nani?
Mjumbe au?

Tumeshageuza nchi kuwa kitu cha ajabu ambacho labda watu kama Kabudi tu ndio wanaelewa tunakoelekea.

Mimi nilidhani tunapiga hatua kutoka uongozi wa Kikwete kwa kuboresha taasisi na kuzipa nguvu ila nguvu kubwa sana imetumika kuparalize hizo taasisi na CCM ikiwepo.

Ukiangalia kwa umakini hata CCM kama taasisi iko in disarray. Mwenye nguvu ni Mwenyekiti pamoja na Makonda.
This alarm should be enough. Think people, think!
Makonda Kamuweka rais kati.

Kila mtu anajua
 
Ndugu-gay mbona kaongea ukweli tuu kunguru muoga hukimbiza mbawa zakee. Hukuona zile siraha alizo vamia nazo usiku Clouse midia na mpka leo wale watu hajafanywa lolote? Halaf Ngugu-gay kasema Bashite ana nguvu ila kaogopa kusema kuwa Nguvu zake zipo kwa wale wasio julikana na inaonesha ndio mpangaji wa mashambulizi.
 
Ndugu_gay alikuwa anamaanisha makonda ana nguvu za kiume.
Maana alimzindia katibu mkuu wa CCM ambaye anaogopwa na kangi Lugola
 
Naona harufu ya wivuwivu juu ya makonda
Wivu wa nini sasa!
Naweza kuwa na ving'ombe na mbuzi nilivyotafuta kwa shida ila vikadumu mpaka nikaviacha urithi.
Mali alizo nazo Makonda zaweza kupotea kesho kama harufu ya perfume!
 
Huyo makonda mnaemsema ni bora x100 zaidi ya huyo sabufawenu
 
Nguvu ya spika wa bunge ni kubwa na hili wala sihitaji kuelezea!
Sasa Spika anaposema mkuu wa mkoa wa DSM ana nguvu hapo ndio mimi sielewi kabisa!
Labda kama wadau mtanielewesha...

Kwamba imefika mahali Makonda ana paralize system ya uongozi wa nchi?
Rais anamuagiza Makonda akaihamasishe timu na spika anamuagiza waziri akasimamie timu. Hivi what was that?
Makonda anaitisha kikao na timu, hivi waziri anaingia hichi kikao kama nani?
Mjumbe au?

Tumeshageuza nchi kuwa kitu cha ajabu ambacho labda watu kama Kabudi tu ndio wanaelewa tunakoelekea.

Mimi nilidhani tunapiga hatua kutoka uongozi wa Kikwete kwa kuboresha taasisi na kuzipa nguvu ila nguvu kubwa sana imetumika kuparalize hizo taasisi na CCM ikiwepo.

Ukiangalia kwa umakini hata CCM kama taasisi iko in disarray. Mwenye nguvu ni Mwenyekiti pamoja na Makonda.
This alarm should be enough. Think people, think!
Hapa tutumie neno DHAIFU litatuongoza vizuri
 
Ha ha ha.. Tambo na uwezo wa Ndugayy unaishia kwa CAG, na wabunge wa upinzani, kwa Bashite amekwaa kisiki.. Kwa Bashite, Ndugayy ni kama kichunguu kilicholoa maji, kinamong'onyoka chenyewe kabla ya kuguswa.. Ndugayy hana uwezo wa kumfanya chochote, kumuita Dodoma, wala kumuadhibu..

Simpendi sana Bashite, ila kwa hili nimefurahi Ndugayy amekutana na jabali🕺🕺
 
subwoofer Dhaifu kazoea kuonea vile vidagaa..

maana hapo angekuwa mwenzangu na mie pangu pa kavu;damu ya kunguni..

kama akina Mh.Lissu Mh.Masele,Lema,Prof.Assad au akina Halima Mdee na Mh.Zitto...pingu zilihusika na hata warranty ya Interpol ingetolewa

Lakini kwa Playboy kadunda mbayaaa!! kaishia kumuomba msamaha

#Eti..tumsamehe
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom