Mahitaji
1)Nyama ya mbuzi 1 kg
2)Pilipili mbuzi 2
3)Pilipili manga 1/2 teaspoon
4)Bizari ya pilau (cumin) 1 tablespoon iliyotwagwa
5)Mafuta ya kupikia 1 tablespoon
6)Chumvi kiasi
7)Tangawizi na kitunguu saumu 1 tablespoon
8)Kitunguu maji 1 kikubwa
Namna ya kutaarisha
1)Osha nyama vizuri na ukate vipande vipande
2)Weka pilipili manga,bizari ya pilau,kitunguu saumu,tangawizi na chumvi katika nyama...changanya vizuri then funika bakuli na weka katika friji nyama ikolee viungo
3)Twanga pilipili zako
4)Kata kitunguu maji vipande vikubwa kubwa vinne
5)Baada ya saa 1 ya kuacha nyama ikolee viungo,weka nyama katika sufuria then weka kitunguu maji then add maji nusu ya nyama..chemsha
4)Nyama ikishawiva ondoa vitunguu maji
5)Koroga nyama yako hadi ukauke maji na kubakia na mchuzi mzito mzito
6)Tenganisha nyama na mchuzi mzito...nyama weka kwenye grill then geuza geuza kwa dakika 15..then toa ili isikauke sana
7)Weka mafuta ya kupikia jikoni then weka pilipili yako uliotwanga na mchuzi mzito ulitoka katika nyama then koroga vizuri,kaanga kidogo alafu weka nyama yako uliokausha
8)Koroga hadi nyama ikauke vizuri...epua
9)Spicy barbecued goat meat tayari kwa kuliwa....unaweza shushia na kinywaji upendacho.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums