marco polo jr
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 362
- 1,774
Huyo dogo alikufa na aliyempiga picha alijiua watu walimaindi kwanini hawakumchukua jamaa alipata msongo alijiua
GHii picha ilishinda kama picha bora ya mwaka kwa Dunia nzima. ila sikumbuki mwaka na inasemekana huyu dogo alichukuliwa na Mzungu na sasa yuko na afya tele. mwenye picha yake plz share..