Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,934
- 13,951
Alaf et wao hawana mitiani kwa wanafunzi wao had wafike grade(nikama huku tunavyosema darasa) 4 au umri miaka 10, wanaamini kuanzia chekechea had grade 4 ni sehemu ya kumjenga mtoto.kimaadili zaidi