Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

IMG-20220723-WA0317.jpg
 
[emoji599]watoto wa Jackson kulipwa pesa kila mwaka

Kwa mujibu wa gazeti kubwa nchini Uingereza "Mirror", watoto wa tatu wa Michael Jackson ambao ni, Paris, Prince pamoja Na Blanket, watakua wanapokea kiasi cha Euro milioni 300 kila mwaka Kama malipo ya nyimbo za Baba yao .

Hayo yanajiri wakati Hayati Jackson nyimbo zake hadi sasa Bado zinatumiwa sehemu mbali mbali japokua hayupo tena duniani

Screenshot_20220801-071826.jpg
 
Back
Top Bottom