Kuna mchumba nilimuacha ndo namtafutaWeeweeee
Huku kwenye sanduku la mwaka 2017 unatafuta nini...!!??? 😅😆😅
Mods wamepita naye simuoni😭Aaahahahahahhaa
Ongeza spidi asije akawahiwa (kama bado hajachukuliwa😅)
Yote heri tuu...Pole mwaya, muombee wamuachilie ID yake usemeshane na mwandani wako.