Shukran sanaNashukuru kwa kukupa nguvu mpya, saa ingine kika mmoja wetu anahitaji maneno ya kutia moyo, faraja na hata kumbato.
Nikutakie heri yote kwenye kupambana, wewe ni zaidi ya Benz.
Ni sawa kabisa na sie wanawake tupo kwa ajili ya kuwapa motisha mzidi kuongeza nguvu ya kupambana na maisha.Do It Yourself (DIY)
We do it ourselves
Kweli Mwanaume ni kupambana tuu
Imeandikwa tutakula kwa jasho.
Sawa mtoto mzuri. Zitafika hakika !!!Ni sawa kabisa na sie wanawake tupo kwa ajili ya kuwapa motisha mzidi kuongeza nguvu ya kupambana na maisha.
Salamu kwa baba yeyoooo wote.
Wewe...bas tu !Ooh asante mdau, nashukuru kwa kuniona kwa jicho la tatu.... am humbled.
Nikutakie heri zote kwenye harakati zako za kupambana na maisha.