Spesheli Kwenu Wanaume..

Spesheli Kwenu Wanaume..

Asante sana mzee mwenzagu kasie

Karibu sana....
Ila mzee mwenzangu una mbwembwe.... ndo ukaanza na mguno heheheheh

Haya nakutakia mapambano mema.
 
Karibu sana....
Ila mzee mwenzangu una mbwembwe.... ndo ukaanza na mguno heheheheh

Haya nakutakia mapambano mema.
Mzee mwenzagu.....utamu ulinizidia ndo maana nikaguna
 
Tunashukuru kwa Neno lako la faraja na Kutupa Moyo...

Be Blessed!
 
Mwanaume unapopata shida macho huwa mekundi kwa hasira lakini katu katu usikate tamaaaaaaaaaa,,,,,,,,,,NGURUMO MSONDO NGOMA.
 
Uzi bora kabisa ukiacha yale maswala ya mahaba na mahabuba
 
NImefarijka sana kwa ujumbe huu mahususi
avache wedu
 
Back
Top Bottom