Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,487
- 11,715
a self cleansing organ.Hivi wapenzi/wanandoa wakishiriki tendo la ndoa zile mbegu za kiume zote zinazomwagwa huwa zinaenda kukaa wapi kwenye mwili wa mwanamke?
Inasemekana for a single ejaculation mwanaume anazalisha mamilioni ya mbegu hizo. Hata kama ni kwa mimba lakini kwa mamilioni hayo ni wazi kuwa nyingne nying znabaki bila kazi.
Swali ni je, zinazobaki huwa zinaenda kukaa wapi na kwa mda gani? Je kuna kazi nyingne zinafanya kwenye mwili wa mwanamke?
zinatolewa kama uchafu kupitia uke wa mwanamke
Hivi wapenzi/wanandoa wakishiriki tendo la ndoa zile mbegu za kiume zote zinazomwagwa huwa zinaenda kukaa wapi kwenye mwili wa mwanamke?
Inasemekana for a single ejaculation mwanaume anazalisha mamilioni ya mbegu hizo. Hata kama ni kwa mimba lakini kwa mamilioni hayo ni wazi kuwa nyingne nying znabaki bila kazi.
Swali ni je, zinazobaki huwa zinaenda kukaa wapi na kwa mda gani? Je kuna kazi nyingne zinafanya kwenye mwili wa mwanamke?
To keep her clean and protect yourself from several infections, tumia condom.
Mmh huwa zinaenda kutengeneza mtoto
zinakwenda kunenepesha makalio.
Mmmh mtt? na wale wanaopigwa bao 3 per night c wangekua wanazaa kama paka? nyingine zinabaki kama virutubisho tu
zinatolewa kama uchafu kupitia uke wa mwanamke
Sijaanza huo mchezo though sipo sild
Mmmmmh miss chagga ya kweli haya? nimefuatilia comment zako kama ni mwl bac ww laprofesel
Duh kuna watu wako deep