Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
Ni model gani hiyo modem?Yangu ni kimeo too slow yaani haina maana
Sema kwa upande wa kifurushi mi nashindwa kuelewa kwani mi hununua kile cha mb 400 kwa sh 2500 na bado sijalimitiwa speed, may be other factors, may be ''Ni ndoto kwako kupata speed nzuri kama unatumia signal za EDGE
Ni ndito kwako kupata speed ya zaidi ya 500KBps kama unatumia modem yenye uwezo wa chini ya 3MBP'' ​and other machine related settings
Ni model gani hiyo modem?
Habari jf
Nichukuwe fursa hii kukiri kuwa tangu nimeanza kutumia internet, sijawahi kukutana na internet ya speed kubwa kama hii ya airtel ya sasa, sijawahi. File la ukubwa wa mb 87 ndani ya dk 2 limeshushwa!!!, mnasemaje nyie wanajamvi?.
kwenye setting au Option wekeni WCDMA prefered kwa Mobile Partner au HSDPA kwa ZTE muone mambo yanavyoshuka lainiiiiiiii
mbona mi modem yangu ya airtel hiyo option ya kuselect network type ipo locked yaani ipo faint kabisa na hapa speed yake ni 0.8kbps yaani very boring but in short hawa jamaa internet yao inachagua maeneo,ukiwa baadhi ya maeneo ( katikati ya mji) hadi raha ila baadhi ndio hivyo full maumivu.
Kazi ni kwako, ila bila ubishi siku hizi wanatuibia bundle zetu huu ndio ukweli.mbona mi modem yangu ya airtel hiyo option ya kuselect network type ipo locked yaani ipo faint kabisa na hapa speed yake ni 0.8kbps yaani very boring but in short hawa jamaa internet yao inachagua maeneo,ukiwa baadhi ya maeneo ( katikati ya mji) hadi raha ila baadhi ndio hivyo full maumivu.
I ve been told Smile communications Tanzania recently launched 4G LTE in Dar. Can anybody confirm this?
Speed inategemea na sehemu ulipo hii ndio speed ninayopata kwa airtel TZView attachment 56659
kwenye setting au Option wekeni WCDMA prefered kwa Mobile Partner au HSDPA kwa ZTE muone mambo yanavyoshuka lainiiiiiiii
Ni kweli lakini kwa mimi hiyo ni kubwa mkuu, weka screenshot yakwako tuone mkuu.Hiyo speed mbona sio kubwa sana, ukipiga hesabu ni 350KB/s.
Upo wapi mkuu?DON'T LAUGH AT ME!!!
MI NATUMIA ZANTEL.
LAKINI SPEED NINAYOIPATA NI AIBU TENA NIPO KAMA 70 METRES KUTOKA KWENYE MNARA IN A LESS POPULATED AREA.
Hii::::::::::: 7.0kbps - 8.4kbps:israel:. Nilipoanza Kutumia IDM, ndio afadhali nikanza kupata hiyo 7kps - 32 kps :second: tena haiko stable. Inapanda -------->>>>> :loco:Inashuka________>>>>>>>>:A S cry: