Speed ya Internet ya tiGO inatisha

Speed ya Internet ya tiGO inatisha

Ngoja wateja wa internet waongezeke ndo utajua tiGO wakoje. Unashangilia ushindi kipindi cha kwanza?
Niko kwenye voice ni tigo tangu wakiwa mobitel 1998 na hadi leo sijawaacha na sipangi kuwaacha. Ni wazuri na wana bei nzuri. Ni wasikivu na wanaelewa matatizo ya wabongo. Kama si tigo bei za voice zisingekuwa zilivyo leo. tigo nawaamia.
 
294.8 KB download for 45000??is too expencive brother,upload ikoje?mimi download ni 512kb na upload ni 245kb nalipa 37000 sawa na hela ya tanzania

Kwako ni too expencive but kwangu ni cheaper...... tuelewane kwanza hiyo 512 ndio download speed au ndio unaisoma kwa dashboard yako? pia ningepeda kujua upo nchi gani maana usije ukawa upo nje na unategemea vitu tz viwe sawa kana uko uliko.
 
Mkuu hebu dadafua kidogo tofauti ya kb/ps na kB/ps kisha linganisha hizo kila moja ni sawa na mb ngapi?

Nadhani ulikuwa unamaanisha kbps na kBps

Mara nyingi hata mimi dash board inaweza kusoma vizuri tu ila sasa unapokuja kuanza kudownload kitu labda kwa IDM au FDM au orbit au hata downloder ya browser, kamwe download speed haifiki huko kwenye mb/ps, mimi maranyingi net ikiwa imetulia labda 100+kb/ps. Na nikitumia torrent clients ndio kabisa, kupata 100kbps ni shida.

Au pengine napata hiyo speed lakini sijui kukokotoa mahesabu yake maana unasema kbps na kBps ni tofauti

Kwa ufahamu wangu ni kuwa
Inaposoma 2.5mbps maana yake ni magabits 2.5 zinadaunlodiwa kwa sekunde moja.
Na inaposoma 100kbps maana yake kilobits 100 zinakuwa downloaded within a second.
Sijui sasa unaposema 100kBps inakuwaje?

Kingine sijaelewa ni unaoanishaje speed inayosoma katika dashboard na speed halisi ninayoiona katika download manager, maana zinatofautiana mbali sanaaaaa

Tupe darasa mkuu

kwa maelezo na ufafanuzi wakina pitia hapa kwa makini.Data rate units - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Wazo zuri kaka Dash board zingine zinakupa "ideal condition" lakini ukiwa unashusha mzigo hazisomi"real-time condition" so inategemea dash yako na setup yake... Tuwe makini hapa. kama unafungua e-mail inachukua zaidi ya dakika moja.hapo tumeingizwa mjini.... Keep researching...

Si kweli kaka, anavyosema mkuu lukus hapo juu ni kweli kabisaa! Binafsi huwa natumia tigo kushusha full movie 4gb, software na games kibao: spidi yao ni balaa tupu! Ofisini nina connection ya TTCL ambayo wananiambia nalipia spidi ya 8Mbps, lakini nikitaka kudownload hasa nyakati za mchana ni utata mtupu, labda niache pc on usiku-jambo nisilopenda: hivyo nalazimmika kurely tigo katika heavy downloads. Mimi sijui kueleza kitaalam, ila uzoefu wangu ndiyo huo.
 
294.8 KB download for 45000??is too expencive brother,upload ikoje?mimi download ni 512kb na upload ni 245kb nalipa 37000 sawa na hela ya tanzania

Hapa tunazungumzia bongo kaka, hauwezi kufany acomparizon na mambo ya mbele: au ndy....kishalobalo!! teh teh
 
Si kweli kaka, anavyosema mkuu lukus hapo juu ni kweli kabisaa! Binafsi huwa natumia tigo kushusha full movie 4gb, software na games kibao: spidi yao ni balaa tupu! Ofisini nina connection ya TTCL ambayo wananiambia nalipia spidi ya 8Mbps, lakini nikitaka kudownload hasa nyakati za mchana ni utata mtupu, labda niache pc on usiku-jambo nisilopenda: hivyo nalazimmika kurely tigo katika heavy downloads. Mimi sijui kueleza kitaalam, ila uzoefu wangu ndiyo huo.

Bora mkuu na wewe umeniunga mkono wasije sema oooh Uncle Rukus anatudangaya maana hapa JF baadhi ya watu ni wabishi ile mbaya!
 
Hapa tunazungumzia bongo kaka, hauwezi kufany acomparizon na mambo ya mbele: au ndy....kishalobalo!! teh teh
Kumbe umemshtukie eeh! hah hah hah watu wengine bana hatari kweli kweli ukute hata hana lolote bali mikwara tu...
 
Niko kwenye voice ni tigo tangu wakiwa mobitel 1998 na hadi leo sijawaacha na sipangi kuwaacha. Ni wazuri na wana bei nzuri. Ni wasikivu na wanaelewa matatizo ya wabongo. Kama si tigo bei za voice zisingekuwa zilivyo leo. tigo nawaamia.

Ni kweli kabisa mkuu na kubaliana na wewe , tigo imekuwa mkombozi wetu sisi walalahoi,maana kama siyo tigo baadhi ya watanzania wengi wesingeweza kumudu gharama za mawasiliano....Nadhani na hivi punde watatuletea mabadiliko makubwa kwenye upande wa DATA, na kila mtu hataweza kumudu kuwana mtandao kwenye simu/computer yake na siyo kama ilivyo sasa wamiliki wengi wa computer wamezingeuza kuwa TV za kutizamia movies n'k
 
Uncle Rukus

Nilikwambia hata zile line za dili za ni 3.1mbps

wewe tu mbishi. fanya hivyo nikupe moja
 
Naomba nielezee kidogo kuhusu tofauti kati ya kbps-kilobitspersecond na KBps-kilobytespersecond kama ninavyoelewa! Connection speed ya internet siku zote huandikwa in kbps, mbps au gbps. Lakini data transfers speed (actual speed ambayo file lako llinakuwa received na computer yako) siku zote huwa in KBps, MBps au GBps. Kama virefu vinavyoonyesha hapo juu kuna maneno mawili yanayotofautiana ambayo ni bits na bytes. kwenye connection speed wanatumia neno bits while kwenye download speed wanatumia neno bytes. kwakuwa yote yanaanza na herufi b, ili kutofautisha vifupi, yenye bits itakuwa na herufi ndogo tu while yenye bytes itakuwa na herufi kubwa mbili za mwanzo(KB/MB/GB). Hayo ni makubaliano tu.

Another important fact ni kuwa bits na bytes ni quantity of data. yani kama uzito kuna kilogram, miligram etc. we know 1 kilogram = 1000 gram! kwenye data transfer 1 byte = 8 bits.

Kwahiyo ukiona connection speed ya 2.5 mbps then gawanya kwa 8 to get the rate in bytes yaani MBps. Kwa hapa unapata 0.3125Mbps Changing that to KBps ni 376.25 (0.3125 x 1024). Hii inamaanisha at the connection ya 2.5 mbps unatakiwa upate up a MAXIMUM of 376.25 KBps ya download speed (actual speed ya kureceive file).

CONCLUSION AND QUESTION:
from the info bwana uncle umekaribia kuniconvice nihamie tigo ila jambo moja tu! the only company i know wanaotoa ulimited internet ni VODACOM TU! Everybody else anatoa bundle ie unatoa kiasi fulani cha pesa unapata kiasi fulani kama 2500 tzs kwa 400mb za aitel. Wewe umesema hujui ni kiasi gani na nimewahi kuwapigia wakasema hawawezi kuniambia (sijui kwa sababu zipi) UMESHADOWNLOAD GB NGAPI SINCE ULIVYOJIUNGA NA HIYO BUNDLE! Umefika 20+ GB?

Thank YOu!
 
Kwani umeambia jamaa anafanya promo ya Tigo? Uncle ameexperience kitu anachoona ni kizuri kushare na wanajamii; na ameeleza kwa kadri ya uzoefu wake, kama uko interested you join in, youll find out the rest, na kama unaona haijakaa poa unapotezea! Wabongo bana!
 
Hah! hah! hah! Sharobaro unazingua wewe tulia hivyo hivyo, kwa TSH 45,000/= napata internet ya ukweli hivyo hakuna sababu ya kujiingiza matatini wakati uwezo wakutoa hiyo 45 kwa mwezi ninao.
 
Naomba nielezee kidogo kuhusu tofauti kati ya kbps-kilobitspersecond na KBps-kilobytespersecond kama ninavyoelewa! Connection speed ya internet siku zote huandikwa in kbps, mbps au gbps. Lakini data transfers speed (actual speed ambayo file lako llinakuwa received na computer yako) siku zote huwa in KBps, MBps au GBps. Kama virefu vinavyoonyesha hapo juu kuna maneno mawili yanayotofautiana ambayo ni bits na bytes. kwenye connection speed wanatumia neno bits while kwenye download speed wanatumia neno bytes. kwakuwa yote yanaanza na herufi b, ili kutofautisha vifupi, yenye bits itakuwa na herufi ndogo tu while yenye bytes itakuwa na herufi kubwa mbili za mwanzo(KB/MB/GB). Hayo ni makubaliano tu.

Another important fact ni kuwa bits na bytes ni quantity of data. yani kama uzito kuna kilogram, miligram etc. we know 1 kilogram = 1000 gram! kwenye data transfer 1 byte = 8 bits.

Kwahiyo ukiona connection speed ya 2.5 mbps then gawanya kwa 8 to get the rate in bytes yaani MBps. Kwa hapa unapata 0.3125Mbps Changing that to KBps ni 376.25 (0.3125 x 1024). Hii inamaanisha at the connection ya 2.5 mbps unatakiwa upate up a MAXIMUM of 376.25 KBps ya download speed (actual speed ya kureceive file).

CONCLUSION AND QUESTION:
from the info bwana uncle umekaribia kuniconvice nihamie tigo ila jambo moja tu! the only company i know wanaotoa ulimited internet ni VODACOM TU! Everybody else anatoa bundle ie unatoa kiasi fulani cha pesa unapata kiasi fulani kama 2500 tzs kwa 400mb za aitel. Wewe umesema hujui ni kiasi gani na nimewahi kuwapigia wakasema hawawezi kuniambia (sijui kwa sababu zipi) UMESHADOWNLOAD GB NGAPI SINCE ULIVYOJIUNGA NA HIYO BUNDLE! Umefika 20+ GB?

Thank YOu!

Mkuu, shukrani sana kwa kuwapa ufafanuzi wa Kbps na KBps....

Mkuu, sina maelezo mengi sana ila ni kwamba nimejiunga na hii bundle tarehe 21/4/11 hivyo package yangu imeisha jana na nimejiunga tena leo asubuhi, na hadi sasa nimeshafikisha karibu 50GB, natumia kwenye desktop na laptop, na download zaidi kwenye desktop kwani uwa naicha usiku kucha ikidownload, hii picha hapa chini ni kutoka kwenye laptop.

Tigo vuze.jpg download.jpg
 
kbps = kilobit per seconds lakini

kBps = kiloByte per second

pia ujua 8bit ni sawa na 1byte.
kwa hiyo kama spidi ni 2.5mbps hii lazima uigawe kwa 8 na itakuwa ni 2.5/8 = 0.3125mB per second
mega na kilo zina tofauti ya 1000 hivyo ni sawa na 312.5KB per second
ila ujue kuna tofauti kati ya connection speed na internet speed.
internet speed unaweza kuipiwa kwa kutumia website kama speedtest.com ambayo ina undwa na download na upload speed.
na connection speed ni uwezo wa modem yako ku connect ijapokuwa hawa ISP wanailimit na ndio maana kukawa na tofauti.
kama hawa i limit na hakuna network trafic nyingi basi ndio zinakuwa sawwa
 
Kwani umeambia jamaa anafanya promo ya Tigo? Uncle ameexperience kitu anachoona ni kizuri kushare na wanajamii; na ameeleza kwa kadri ya uzoefu wake, kama uko interested you join in, youll find out the rest, na kama unaona haijakaa poa unapotezea! Wabongo bana!

Ni kweli kabisa mkuu, sipo hapa kufanya promo bali nimeshare kile nachokiona kwangu na wengine wakione
 
kbps = kilobit per seconds lakini

kBps = kiloByte per second

pia ujua 8bit ni sawa na 1byte.
kwa hiyo kama spidi ni 2.5mbps hii lazima uigawe kwa 8 na itakuwa ni 2.5/8 = 0.3125mB per second
mega na kilo zina tofauti ya 1000 hivyo ni sawa na 312.5KB per second
ila ujue kuna tofauti kati ya connection speed na internet speed.
internet speed unaweza kuipiwa kwa kutumia website kama speedtest.com ambayo ina undwa na download na upload speed.
na connection speed ni uwezo wa modem yako ku connect ijapokuwa hawa ISP wanailimit na ndio maana kukawa na tofauti.
kama hawa i limit na hakuna network trafic nyingi basi ndio zinakuwa sawwa

Kama vile umejishanganya mkuu....
 
hawa tigo mbona arusha hawataki kuleta 3g?

Tigo Arusha mjini hamna 3G/HSDPA? Nadhani watakuwa mbioni kufanya hivyo maana hata uku Dar inakama miezi miwili tu toka wameizindua.
 
Mkuu nimejiunga na package ya standard mwezi, ambayo nalipia tsh 45,000 kwa wezi. hack gani? yaani unataka kuniambia nimepata hiyo speed ya net kwa kuhack ma-router/server za tigo? hah hah hah hapana mkuu....Nipo maeneo ya tegeta na 3g, napata ka-bar 1 tu ka signal.

mkuu mbona kwenye tariff zao hiyo bundle ya standard month ni 15,000sh vipi unalipa 45,000?

tigo2.gif
With Tigo it is easy to access the internet with your phone. Choose package, text in the keyword, and you are ready to go!
Light day – 450 tsh Text in Light day to 15166
Light week- 2,500 tsh Text in Light week to 15166
Light month- 9,000 tsh Text in Light month to 15166
Standard week- 4,500 tsh Text in Standard week to 15166
Standard month- 15,000 tsh Text in Standard month to 15166
 
Back
Top Bottom