Mkuu, unapofanya hivi vitu unatakiwa kuwa makini sana na siyo kubahatisha vitu, hizo bundle ulizoweka wewe ni maalumu kwa matumizi ya simu..... na hivyo hivyo kuna bundle za matumizi makubwa ya kwenye modem... tizama hapa chini kwenye picha...
![]()
Standard week ndiyo tsh 15,000- na mwezi ni tsh 45,000-
Tunatumia hizo za mobile internet kisha unachomeka PC yako kupitia Nokia PC Suite