mkuu sim ina uwezo wa 4g.. lkn nipo kwa 2g..... hapo kusolve hadi kuhama makazi
wandugu najua mpo bize na bunge move....
naomba tuje na huku....
kuna app 1 nimeiona ya boost speed ya net....kwenye 2g...3g...na 4g.... lkn nimeweka mambo ni yale yale.... naimba ufafanuzi juu ya hizi kitu.... niliyo nayo ni Faster internate.
Upo mkoa gani?
Kwa sasa karibia kila wilaya makao makuu yake yana 3G ya Vodacom Roaming
Jaribu kutumia Vodacom modems ndo nilizoona zinashika Roaming pekee sijui zimewekewa nn maana kipindi niko bush nilikua nkijaribu kwa modem nyingi spati roaming lkn kwa modem ya Vodacom niliipata
Fanya research ya hilo kama upo mkoa wenye 3G
Angalia setn zikae sawa na huawei
Mie tablet langu la tecno s9 linanizingua kwenye net nlifanyje?
Niko muleba!
Mara nyingi huwezi kupata speed zaidi ya anayotoa service provider wako
Kama unapata speed ndogo zaidi ya anayokupa isp wako hapo unaweza kuhangaika kutafuta solution
Na kama isp wako anatoa speed kubwa lakini kabana speed hapo possibilities za kuongeza speed hadi kiwango cha mwisho cha isp wako inakuwa ipo, but it depend .
Kama upo eneo la 2g aka edge hapo hakuna jinsi zaidi ya kutafuta browser zinazoweza kubana data ili kufungua haraka kidogo