warthog gun
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 1,464
- 1,260
Upo sahihi mkuuNakuheshimu saana!!
But
Napingana na ulichokiandika kwa sababu
Speed inapimwa kutokana na movement ya chombo ambapo inakua calculated kwa kutumia mzunguko wa tairi. So let's say tairi either la pikipiki au la gari, kwa mzunguko mmoja linaweza kuzunguka na Ku cover mita moja, likizunguka mara 1000 litakua limeitimisha KM!!
KWAHIYO, SPEED YA CHOMBO CHA MOTO HAIPIMWI KWA EITHER RESISTANCE YA UPEPO WALA UKUBWA WA INJINI, INAPIMWA KWA ROTATION YA TAIRI WAKIOANISHA NA UMBALI.
SAMAHANI SO MZURI WA KUTOA MAELEZO KWA KUANDIKA, I WISH NIWATUMIE VOICE NOTE
Asante nini wewe,asante mkuu
Nami nina uelewa na uzoefu pia atayeendelea kukubishia basi atakua anatumia nadharia za kukariri.labda tueleweshane vizuri
tunazungumzia speed kwa maana ipi?
kama hilo gari na pikipiki zitakuwa kwenye speed moja mf 80km/h na hakuna mabadiliko kwenye speed(acceleration) basi hivi vyombo vitafika muda mmoja kabisa na havitaachana kwa sababu speed inapimwa kwa kugawanya umbali na muda(distance and time)
lakini ikiwa tu kutatokea mabadiliko ya speed (acceleration) then zote zikapanda hadi speed ya mf 100km/h hapa ndio itategemea ni chombo kipi kina uwezo wa kuaccelerate(kuchanganya haraka) na hapo ndio kutatokea gap la muda,aliyechanganya haraka atawahi kufika...lakini ikumbukwe kuwa gap la umbali kati ya vyombo hivi litabaki palepale.
namna nyingine kuweka sawa ni hivi
mnapokuwa kwenye speed moja(gari na bike) gari linatumia nguvu kidogo na pikipiki inatumia ngumu nyingi zaidi ili kumantain hiyo speed,pengine hapa ndio watu wanapozungumzia...lakini hii haina effect yeyote kwenye muda wa kufika,wala hakuna kitakachomuacha mwenzie.
fikiria hii.
unapokokota baiskeli wewe na baiskeli mnakuwa kwenye speed sawa na mtafika pamoja,the same as pale ukaamua kusukuma gari,utalisukuma na speed yako ndio itakuwa sawa na speed ya gari..na hata likiwaka kama dereva atamanage kukanyaga mafuta kupata mwendo sawa na wako mtafika pamoja kabisa.
kwahiyo gari na bike at the same speed zitafika huko muda mmoja.
Wa pikpik mkuu,hivi Unafaham speed mita ya gar kubwa nyingi mwisho ni 120?sasa jiulize kama mwisho ni hivyo mbona linaweza kukupita kwa kasi na ww uko na gar ndogo speed 130na kwenye tochi inakuaje mkuu
chukulia mfano we na basi lako uko 50km/h na pikipiki ana 70km/h ,hapa mkipigwa tochi nani anakamatwa.
Kufika watafika sawa,kule kwenye air resisitance kubwa ni kuwa atatumia nguvu nyingi kuliko mwenzake,hapa nina maanisha mafuta atatumia mengi lakini watafika pamoja...You are wrong my friends,kuna mmoja hapo air resistance ni kubwa kuliko mwingine kwa hiyo atachelewa kufika!!
Kilo moja ya manyoya na kilo moja ya mawe ipi nzito??assume pikpik inatembea 80km/h, gari nalo linatembea 80km/h...Je, kuna uwezekano qari likafika mapema au kuiacha pikpik?
note: safar si ndefu mfano urefu wa 10km.
wataalam naomben majib mana tumebishan san hii mada.
Kwa hiyo ukipigwa tochi mpo katika mwendo mmoja tochi itaonesha gari dogo lina spidi kubwa kuliko kubwa?Concept za kifizikia mnazoleta haziwez kuwa proved,nina uzoefu wa kuendesha gar kubwa basi la mikoani na nina gari ndogo,hilo basi likifika speed 80 ili gari ndogo iweze kwenda Sawa nayo lazima liwe 100 speed na ku overtake lazima ndogo iwe 110-120.
Nachosema tumefanya research kabisa
vikiwa sambamba vitafika sawa ila vikionsika kwa pamoja pikipiki itawahi....kwasababu..assume pikpik inatembea 80km/h, gari nalo linatembea 80km/h...Je, kuna uwezekano qari likafika mapema au kuiacha pikpik?
note: safar si ndefu mfano urefu wa 10km.
wataalam naomben majib mana tumebishan san hii mada.
lazima kimoja kimsubiri mwenziekama pikipiki inatembea 80 na gari 80 hakuna itakayopita mwenzake.
labda kwenye kuanza mwendo itakayoanza kuchanganya ndio itafika mapema lkn kama zinaondoka kwa pamoja zitamaliza pamoja
Waongo mkiewa wote mna speed moja hakuna wa kumpita mwenzieHata mimi nishabishiwa sana hilo jambo wajuzi wakasema 80/km ya spacio au starlet eti si sawa na prado
Kuna mambo mengi yakitaalamu huzingatiwa, ukianza kutofautisha matairi mbona gari ibebayo taka (dumper) ina tairi kubwa kuliko height ya Costa lakini kwa mwendo inazidiwa na bajaji?Chukua mawe mawili kubwa na dogo yani kg 100 na kg 10 nenda baharini usawa wenye kina kirefu yadumbukize hayo mwe majini kisha yafatilie uangalie litakalofika chini ya bahari likiwa la kwanza basi ndo jibu la sawli lako
Ams chukua mawe kubwa na dogo yaani kg 100 na kg 10 mawili nenda sehemu yenye mteremko kutoka mliman yenye urefu wa let say 10km kisha yabiringishe hayo mawe kuelekea chini litakalofika chini likiwa la kwanza basi ilo ndo jibu la swali lako mzee vitu vingine hatuitaji kufanya ubishi tu ilimradi fikirisha akili yako.
Kwamba ni kweli speed inapimwa kwa mzunguko wa tairi je umejiuliza kabla ya kupost apa kwamba mzunguko mmoja wa tairi la pikipiki ni sawa na mizunguko mingapi ya tairi la gari ama mzunguko mmoja wa tairi la gari ni sawa na mizunguko mingapi ya tsiri la pikipiki ukisha pata jibu kwamba ni tairi lipi linatakiwa kuzunguka mara nyingi ili kuufikia mzunguko mmoja wa tairi jingine basi jibu utakuwa nalo .
Kuwa yule anayetakiwa kuzunguka mara nyingi ili kuupata mzunguko mmoja wa mwingine ndo atafika akiwa wa mwisho na uyo mwingine atakuwa wa kwanza kufika and vice versa is true bt if ceter peribus.
asante, nimeelewa saaana kaka.labda tueleweshane vizuri
tunazungumzia speed kwa maana ipi?
kama hilo gari na pikipiki zitakuwa kwenye speed moja mf 80km/h na hakuna mabadiliko kwenye speed(acceleration) basi hivi vyombo vitafika muda mmoja kabisa na havitaachana kwa sababu speed inapimwa kwa kugawanya umbali na muda(distance and time)
lakini ikiwa tu kutatokea mabadiliko ya speed (acceleration) then zote zikapanda hadi speed ya mf 100km/h hapa ndio itategemea ni chombo kipi kina uwezo wa kuaccelerate(kuchanganya haraka) na hapo ndio kutatokea gap la muda,aliyechanganya haraka atawahi kufika...lakini ikumbukwe kuwa gap la umbali kati ya vyombo hivi litabaki palepale.
namna nyingine kuweka sawa ni hivi
mnapokuwa kwenye speed moja(gari na bike) gari linatumia nguvu kidogo na pikipiki inatumia ngumu nyingi zaidi ili kumantain hiyo speed,pengine hapa ndio watu wanapozungumzia...lakini hii haina effect yeyote kwenye muda wa kufika,wala hakuna kitakachomuacha mwenzie.
fikiria hii.
unapokokota baiskeli wewe na baiskeli mnakuwa kwenye speed sawa na mtafika pamoja,the same as pale ukaamua kusukuma gari,utalisukuma na speed yako ndio itakuwa sawa na speed ya gari..na hata likiwaka kama dereva atamanage kukanyaga mafuta kupata mwendo sawa na wako mtafika pamoja kabisa.
kwahiyo gari na bike at the same speed zitafika huko muda mmoja.
Ambaye hajakuelewa bro hatakuelewa mpaka dunia iisheHizi sifaa zita affect acceleration only.. Acceleration ni muda unao tumika kuifikia speed flan .mfano lorry lina acceleration ndogo , piki piki na gar ndogo zina acc kubwa kulingana na ukubwa wake. ..
Upepo , mzigo , taili , air resistance hivi vina affect acceleration kwa kuwa swali la jamaa halijaa jifunga wana zipataje hizo speed . yeye ana sema wamesha zipata na wana kwenda speed sawa. Basi jib liko waz wata fika sawa. Tho kwa undani wake kila mtu atapitia kikwazo chake kumaintain iyo speed
Watu wengi wamekuwa wakisema gar yenye tairi kubwa ina speed kubwa kuliko yenye tairi ndogo ., swali je trector ina kimbia kuliko gar zote..
Kizio cha speed ni km/h au mile /h je lorry na pikipiki zina dashboard inayo soma vizio kwa namna tofauti. Yan labda lorrry ni km/h afu piki piki au gar ndogo ni sm/min
Traffic wana tumiaa torch aina moja (dragon eye) jiulize wana chaguaa mode yoyote pindi wanapo taka kuipiga torch gar kubwa na ndogo mfano pale wanapo kuwa kwenye 50km/h
Kilo moja ya pamba na kilo moja ya unga naamin ni sawa utofauti ni ujazo tuuu au wingi .
Kuna jamaa alikuja na point yeke akasema mabus yana kwenda speed 80+ km/h eti we mwenye gar ndogo ili umpitee bac ina bidi uwe na speed kama 120km/h .. Big noooo
Kumpitaa mwenye speed ya 80 haya ukiwa na 81 uta mpitaa sema utachukua muda mrefu kumaliza kumpita. .
Download app inaitwa navigator au app yoyote inaonyesha speed kwenye simu yako cku ukipata bahat ukapanda basi linganisha speed ya bus na iliyo kwenye cm yako.hapo ndo utajua kizio ni kimoja tu.
rafik yanq nae alitoa evidence kama hii, ndio nikaamua kupost hii mada. mana hata mimi niliamin kua zote zitafika pamoja.Concept za kifizikia mnazoleta haziwez kuwa proved,nina uzoefu wa kuendesha gar kubwa basi la mikoani na nina gari ndogo,hilo basi likifika speed 80 ili gari ndogo iweze kwenda Sawa nayo lazima liwe 100 speed na ku overtake lazima ndogo iwe 110-120.
Nachosema tumefanya research kabisa
hapo nimepata concept mpyaConcept za kifizikia mnazoleta haziwez kuwa proved,nina uzoefu wa kuendesha gar kubwa basi la mikoani na nina gari ndogo,hilo basi likifika speed 80 ili gari ndogo iweze kwenda Sawa nayo lazima liwe 100 speed na ku overtake lazima ndogo iwe 110-120.
Nachosema tumefanya research kabisa
Hujui wewe basi linaweza kufika hadi 180 achana na haya ya bongo yaliowekewa speed gavana, watu mliosoma art mnasumbua sana.Wa pikpik mkuu,hivi Unafaham speed mita ya gar kubwa nyingi mwisho ni 120?sasa jiulize kama mwisho ni hivyo mbona linaweza kukupita kwa kasi na ww uko na gar ndogo speed 130
Mzee baba unataka kutuambia matrafiki wanatakiwa wawe na vipima mwendo kwa ajili ya kina Passo na vingine vya Scania?kwa kifupi kabisa hawawezi kufika sawa kutokana na sababu zifuatazo:
1.Air resistance:Kuna mmoja hapo air resistance ni kubwa kuliko mwingine kwa hiyo atachelewa kufika
2.Ukubwa wa matairi:Kuna mmoja hapo tairi ni kubwa kuliko mwingine