Ninachokiona mm hapa ni kuwa watu hawajui speed ni nn........nendeni mkasome kwanza speed ni kitu gani halaf ndo mtaweza kujadili hii mada vizuri,maana watu wanachanganya speed na matairi,gear box,ukubwa wa gari mara sijui ndege,meli mara boti.....kama kitu kina move basi kitakuwa na a certain speed bila kujali aina ya movement yake kwa mfano gari,ndege,train,wanyama, binadamu n.k na speed yao inapatikana kwa kupima distance coverd per time.
niwape mfano.....tukichukua gari,punda,bajaji,pikipiki na binadamu tukasema wote watembee kwa speed ya 5km per hr tunategemea baa ya saa limoja wote watakuwa wametembea km 5. kwa sababu wote walikuwa kwenye speed sawa.
nije kwa wale wa matairi
>>tuchukue tairi ya lorry lina diameter ya may be 2m na corrola ina diameter ya 1m na corrola anataka kutembea speed sawa na lorry inabidi matairi yake yazunguke mara 2 kufikie mzunguko wa lorry na hapo wanaweza kutembea speed moja
>> nikupe mfano mwingine chukua ww ni mtu mzima umemshika mkono mtoto mdogo unatembea nae sambamba kwa speed inayofanana na ndo maana mko sawa lakini ki ukweli mtoto atakuwa anatembea hatua nyingi kuliko ww pamoja mko kwenye speed.
angalizo km hujui speed ni nn kaa pembeni usijaribu kupata wanachama wa kuwadanganya na kufuata mkumbo ingia hata google uweze kusoma na kujua what is speed????