Speed 120km/hr ya pikipiki na 120km/hr ya gari?

unafkiri walioweka speed meter hawajui yote hayo?? Kua tairi ya scania ni kubwa, na tairi ya starlet ni ndogo??? Ngoja nikuulize swali, je ndege zikiwa hewani, moja kubwa na ingine ndogo, na zote zinaenda at 120km/h lets say, kwahiyo ndege kubwa itamzidi ndege ndogo???? Ama labda tuchukulie meli, mv skagit na speed boat ndogo, zote zikawa katika 120km/h, yupi atakaemzidi mwenzie???? Msilete mambo ya tairi kubwa na ndogo, ishu ni km/h, ni SI unit worldwide, iende gari, iende meli, akimbie swala, iende ndege, iende bodaboda, ukiweza hata ukimbie wewe, the speed will b the same, since it is km/h..

We hukuwahi kusoma hata hiyo physics. Refer to physics books au waulize madereva watakusaidia.
 
Wakati mwingine hii puzzle iko complecated. Hebu fikiri: Unapoendesha gari kwenye mzunguko gari inasoma speed fulani (let say 60km/h) lakini ukweli ni kwamba hata matairi yenyewe ya mbele yanatofautiana speed. Tairi la upande wa ndani wa mzunguko linakwenda taratibu kuliko la upande wa nje. na hata umbali matairi haya yalipotembea unatofautiana.
 
Wakuu mimi nipo safari ktk Iringa kuelekea Dar! Nikifika dar nitapitia posts zote na kutoa marks! Lakini mpaka sasa nasikitishwa sana na uelewa mdogo wa wengi ktk hili swali (ukizingatia wengine wanajita ma Dr); Mwongozo :- ili kujibu hili swahili ni vizuri ujiulize definition ya speed!
Architech naomba upitie mchango wa kila mtu uto marks, na mimi nikifika nipitie alafu tutoe average! lol
 
Rafiki hapo umekosea sana, Mimi ninauzoefu wa mambo ya magari.

Kwa mfano Suzuki ina tairi ndogo Scania ina tairi kubwa kama mara mbili ya tairi ya Suzuki kama kwenye Scania mshale wa speed utakuwa kwenye 120 na Suzuki 120 lazima Scania itampita Suzuki hiyo haina upishi kabisa.
Pia Sensor ya speed iko kwenye gearbox iko wazi mzunguko wa gear box ya gari ndogo ni tofauti na gari kubwa
Mkuu unakosea, Speed sensor ya gari ipo kwenywe output ya gearbox,na magari mengine kwenywe 'difu' hivyo ukubwa au udogo wa tairi sio kipimo cha speed ya gari.
 
mzunguuko ndio unao-determine speed. kwa kadiri mzunguuko unavo zidi kuwa mkubwa ndivyo spidi inavyo kuwa kubwa and vice versa. Gari kubwa mfano basi au lorry mzunguko wake wa injini piston ni mkubwa. hivyo unafua nguvu kubwa Horse powers vile vile mzunguuko wa tyres ni mkubwa pia, linapozunguka mara moja starlet inazungusha zaidi ta mara tatu au nne. Hivyo basi au lori katika spidi ya 120 km/hr sio sawa na gari ndogo katika 120km/hr

speed=distance covered(km)/time taken(hr)

tyre kubwa (lori/basi) lina-cover distance kubwa linapozunguka mara moja,wakati gari dogo (starlet) lina cover distance ndogo at a given same time. hivyo ili kwenda sawa gari ndogo lazima liwe katika speed zaidi ya 120km/hr

Mzee utachekwa !
Tunaposema Km/h tuna maanisha umbali wa barabara na muda unaotumika ku cover huo umbali na siyo vinginevyo.
usichanganye rpm, revolution per minute ya engine.
Hivyo, 120km/h iwe ya ndege, baiskeli, pikipiki treni, lori, chui zote ni sawa.
Kama wanaenda umbali wa Km 120 wote watatumia saa 1 wakiwa katika spidi hiyo ya 120km/h.
 
Mimi ninauzoefu wa mambo ya magari.

Kwa mfano Suzuki ina tairi ndogo Scania ina tairi kubwa.

unazungumzia uzoefu usio na ukweli. kama tairi kubwa na dogo vinazunguka kwa speed sawa basi tairi dogo huzunguka mara nyingi zaidi ya tairi kubwa katika muda sawa ili kusafiri umbali sawa. Hivyo basi, Ukiwa kwenye chombo kidogo utahisi unakimbia sana kwakuwa tairi linazunguka maranyingi zaidi. kwa speed hiyo hiyo ulozoea kwenyegarindogo utaona tofauti kwa gari kuwa kwa sababu mzunguko wa tairi (injini).
 
Speed ni ile ele labda wadau Comfortability ndo inahusika hapo na ndo inayokukosesha amani.

Mfano

VX V8 au Audi Q7 ikitembea speed 160km/hr

Halafu Hiace ya Bagamoyo ikatembea speed hiyo hiyo. Kutokana na comfotability ukiwa kwenye hiace utaona gari inakimbia sana na pia utaona mwendo ni wa hatari

Lakini ukiwa kwenye V8 hiyo speed 160 utaona kama ni 80 na mwendo utaona ni salama kabisa.

Mzee subiri majadiliano ya sayansi kimu ndo uje kuchangia!
 
Wakuu mimi nipo safari ktk Iringa kuelekea Dar! Nikifika dar nitapitia posts zote na kutoa marks! Lakini mpaka sasa nasikitishwa sana na uelewa mdogo wa wengi ktk hili swali (ukizingatia wengine wanajita ma Dr); Mwongozo :- ili kujibu hili swahili ni vizuri ujiulize definition ya speed!
Architech naomba upitie mchango wa kila mtu uto marks, na mimi nikifika nipitie alafu tutoe average! lol

akhsante papa diana,, nakungoja ufike dar utoe marks... Mimi obviously ntaanza na kumpa dr. Mbura sifuri,, hawa ndio madokta wa kuchakachua,,,sijui walikoupata huu udaktari,, fika haraka uwaelimishe watu, wafunguke upeo na akili,,
 
Mkuu unakosea, Speed sensor ya gari ipo kwenywe output ya gearbox,na magari mengine kwenywe 'difu' hivyo ukubwa au udogo wa tairi sio kipimo cha speed ya gari.

Yote haya huwa kwa hesabu ndugu wala wasahau kuwa ndio hiyo unayoita sensor izunguke lazima gearbox izungushe tairi, tairi isipozunguka hicho kifaa kamwe hakizunguki
 
Rafiki hapo umekosea sana, Mimi ninauzoefu wa mambo ya magari.

Kwa mfano Suzuki ina tairi ndogo Scania ina tairi kubwa kama mara mbili ya tairi ya Suzuki kama kwenye Scania mshale wa speed utakuwa kwenye 120 na Suzuki 120 lazima Scania itampita Suzuki hiyo haina upishi kabisa.
Pia Sensor ya speed iko kwenye gearbox iko wazi mzunguko wa gear box ya gari ndogo ni tofauti na gari kubwa

kwa hiyo catapira yenye tairi kubwa basi spidi yake pia kubwa?
 
tatizo wengi wenu humu mmezoea kupanda daladala ama gari za kuazima!
ukubwa wa injini nikimaanisha wingi wa pistoni ndio mpango mzima wa kuelewa nguvu ya gari na inavyoweza kukata safa,kwa mfano speed 120 kwa km100 gari 4sld inakata kwa saa moja wakati gari ya 6sld itakata kwa speed na km hizohizo kwa dakika 45,na ya 8sld itakata kwa 35 dakika.
gari kubwa(za mizigo)kama ipo tupu speed 120 sawa na corolla ya 4 sld speed m 140
 
ukisha sema km/h inabaki vile vlle kila gari. Ndio maana unakwenda barabarani unakuta wameandika mf 40. Maana yake magari yote yatembee 40km/h bila kujali tairi, difu wala piston. Ingekuwa kila gari na spidi yake basi kila sehemu yenye warning speed limit wangeweka pia parking na wangewka orodha ya kila gari na spidi yake. Unafika pale unasimama unaangalia gari yako kwenye orodha alafu unaangalia pidi yake unaondoka.
 
hiyo mashine inaitwa bugati veyron kama inatembea na 120sp/h inakata 300km
 
Attachments

  • bugati veyron.jpg
    bugati veyron.jpg
    13.5 KB · Views: 58
Kweli balaa kabisa.......................... speed=distance covered/time, ili ujue unatembea speed gani hiyo ndio lazima ujue umefika umbali gani kwa muda gani,................................si kweli kuwa matairi kuwa yanadetermine speed, huo ni utoto kabisa, kwa maana nyigine vitu visivyokuwa na matairi (ndege, boti, jahazi, chopper, baloon nk) sijui utawezaje kujua speed yake., ..... kumbe tunarudi palepale mpaka uwe na distance na time ndio unaweza kujua upo speed gani,,,................................speedometer inachokifanya ni kupima kilometer/mile ngapi unazikava kwa muda gani, na hiyo hipo hivyo kwa magari makubwa na madogo.............kwa maana 120km/hr ya lori ni sawa kabisa na 120Km/hr ya pikipiki,,..................kama pikipiki na lori zinatoka point A kwenda point B (120km) kwa pamoja, na zote zinatumia 120km/hr (constant speed), basi zote zitafika point B kwa muda mmoja yaani exactly saa moja

Thanks Kituko, your arguments are more convinging
 
Mzee utachekwa !
Tunaposema Km/h tuna maanisha umbali wa barabara na muda unaotumika ku cover huo umbali na siyo vinginevyo.
usichanganye rpm, revolution per minute ya engine.
Hivyo, 120km/h iwe ya ndege, baiskeli, pikipiki treni, lori, chui zote ni sawa.
Kama wanaenda umbali wa Km 120 wote watatumia saa 1 wakiwa katika spidi hiyo ya 120km/h.

godrich jibu lako limejitosheleza.
atakae endeleza mjadala baada ya post hiyo hapo juu atakua ni mbishi au mgumu kuelewa.

starlet ikitembea km 120 kwa saa moja (120kph)ni sawa kabisa na yutong likitembea 120km kwa saa moja (120kph) au ni sawa na boat ya kilimanjaro ikitembea 120 kwa saa moja(120kph).

mjadala na uishe.
 
Rafiki hapo umekosea sana, Mimi ninauzoefu wa mambo ya magari.

Kwa mfano Suzuki ina tairi ndogo Scania ina tairi kubwa kama mara mbili ya tairi ya Suzuki kama kwenye Scania mshale wa speed utakuwa kwenye 120 na Suzuki 120 lazima Scania itampita Suzuki hiyo haina upishi kabisa.
Pia Sensor ya speed iko kwenye gearbox iko wazi mzunguko wa gear box ya gari ndogo ni tofauti na gari kubwa

Alafu eti wewe ni DR?? Aisee! Hii nchi tuna kazi. Speed ni moja swala la mzunguko wa tairi ni kitu kingine, tairi dogo litazunguka mara nyingi kuliko kubwa lakini kama wote wako 120 then hamna litakalo mpita mwingine. Very simple logic
 
Mimi naomba tuwekane sawa hapo inawezekana ktk maelezo ya wadau wengine kunavitu mnachanganya kutoa maelezo. Tuseme umbali wa kutoka Dar-Chalinze ni 100km. Gari kubwa liendeshwe kwa speed ya 100km/hr mwanzo mwisho, na pikipiki iendeshwe kwa speed ya 100km/hr mwanzo mwisho. Hapo pikipiki na gari kila mmoja atatumia 1hr muda sawa kufika.
 
wameshakiri kushindwa jamani,,, naona hata spidi yao ya majibu imeisha,,,, nawashukuru sana wana j.f waliokua sahihi kwa upole wao na uvumilivu wao wa kuendelea kuwaelimisha wengine, ambao kwa namna moja au nyingine walikuwepo wengine wabishi kweli kweli, kama dr mbura,sijui aliutolea wapi u-dr wake, ama labda alipatiwa wa bure,,, tumsamehe bure, ila nadhani atakua ameelimika... Big up j.f, Mungu ibariki t.z, Mungu ibariki j.f, Mungu awabariki wana j.f
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom