Ginner
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 1,459
- 1,832
kila gari linaopokuja huwa lina specifications zake, watengenezaji huwa wanafunga matairi ya size inayoendana na speedometer ya gari husika. na speedometer huesabu mzunguko wa tairi na kujua ni distance kiasi gani imekuwa covered kwa mzunguko mmoja as size ya tairi huwa imekwisha kuwa pre installed kwenye speedometer.
kwamaana iyo tractor tairi yake ikizunguka lets say mara moja speedometer yake itakuwa itacount kuwa labda 10meters zimekuwa covered na bajaji imekuwa set icounts kiasi flan cha mwendo baada mizunguko kadhaa ya tairi lake
tatizo huwa linakuja pale mtu anapofunga matairi makubwa au madogo kuliko iole size default ya gari husika.. mfano gari ya tairi size 14 ukafunga size 16 au 12. hii itafanya speedometer idanganye speed kwamaana ya kwamba mzunguko mmoja wa shaft ya matairi speedometer itakuwa inacount ile distance inayokuwa iko covered na tairi ya size 14 labda ni meter 5 kumbe umeweka tairi kubwa linalocover 7m au dogo linalocover 5m kwaivyo unakuta speedometer inaonesha speed kukwa lakini mwendo ni mdogo kama umefunga tairi ndogo au speed unayotumia ikawa kubwa kuliko ile inayoonekana kwenye speedometer kama umefunga size kubwa ya tairi kuliko ile inayotambulika na speedometer ya kifaa husika
hitimisho ni kwamba..120km/hr ya scania ni sawa na 120km/hr ya bajaji na ya guta as far as zote zinatumia size za matairi iliyowekwa na watengenezaji. kama matairi yamefanyiwa utundu kuongezwa au kuwa madogo basi speed itaendelea kuwa the same ya 120km/hr ila speedometer zenu zitakuwa zina read differently