Ni salama kukutana na Simba mwenye shibe kuliko kuitwa kuhojiwa na HR aliyetalikiwa jana na mumewe

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
Kuna tabia na hulka za mwanadamu ambazo shule haina uwezo wa kuzibadili asilani hata ungesoma kiwango cha D.Litt.

Ma-HR wanawake utafiti wangu umebaini kwa wingi wao wanapenda kufanya kazi Ki-Hakimu-Hakimu vile.

Ma-HR wanawake katika utendaji kazi wao wanatumia Labour Law (Sheria ya Kazi) na Civil Service Standing Orders (Kanuni za Utumishi wa Umma) kwa kiwango kikubwa kuliko maarifa mengine ya taaluma hiyo kama OB, Motivation Theory, Supervision, Training and Development, Profiling and Reprofiling, Research, Retention, Remuneration Scheme nk.

Ma-HR wanawake katika sekta binafsi wanapenda sana firing kuliko hiring. Wanakwepa kwa kisingizio cha bajeti ndogo Manpower Development.

Ma-HR wanawake wa sekta rasmi wana-hire kuliko ku-fire.

Wote Ma-HR wa sekta rasmi na wa sekta binafsi wana mrundikano wa kesi za madai kwenye Tume ya Usuluhishi na Uamuzi na Mahakama ya Kazi.

Ma-HR wengi wa sekta rasmi na wa sekta binafsi wana hila, chuki, uba na husuda katika kuongoza mchakato wa kupendekeza staffs wanaostahiki tuzo za ufanyakazi bora za Mei Mosi.

Ni salama kukutana na Simba mwenye shibe kuliko kuitwa kuhojiwa na HR aliyetalikiwa jana na mumewe.

Kwenye HR Psychology inashauriwa kuwa kipindi cha hedhi kwa HR mwanamke siyo salama kufanya maamuzi magumu kwenye majukumu yake.
 
daaaaah Kuna sehemu hapa
huyu ni kichefu chefu, akigombana na mme wake hahaha ni hatari.
Ngoja niishie hapa asije gundua mwandiko wangu
 
Back
Top Bottom