Mtafute Mirambo mkuu anajuwa wapi alikuwa anawapata watumwa na kuwauziwa waarabuHao wa oman vip fidia yetu ya biashara ya utumwa? Watulipe kwanza na kutuomb radhi mengine yafuate
Mtafute Mirambo mkuu anajuwa wapi alikuwa anawapata watumwa na kuwauziwa waarabuHao wa oman vip fidia yetu ya biashara ya utumwa? Watulipe kwanza na kutuomb radhi mengine yafuate
Kuwa mkoa ni maendeleo? Mkoa bila miradi ni kama shule bila madawati na waalimu.Mbona kote huko kaishafika na kufungua miradi mingi.
Geita sasa hivi ni mkoa kazi kubwa kaifanya JK.
Simiyu sasa hivi ni mkoa chini ya JK.
Katavi sasa ni mkoa chini ya JK.
Dogo ilo...