Special Valentine For You Mch. Masanilo...

Naomba nikunong'oneze kidogo shiiii. Huyu anayejiita Rev nimemkuta pale meeda bar amemkumbatia binti mmoja halafu wako bwi bwax. Siri yako lakini mamaa Lizzy

Mchungaji mtu wa maombi hatumii mkojo wa firauni
 
Naomba nikunong'oneze kidogo shiiii. Huyu anayejiita Rev nimemkuta pale meeda bar amemkumbatia binti mmoja halafu wako bwi bwax. Siri yako lakini mamaa Lizzy
Baba mchungaji sio wa hivyo bana.
 
Orayt Golden mpolee popote pale ulipo.... Come this way.....
 
unajitahidi kuwawekea gundi
haya changamkia sili
asije babu akasitisha kununulia ile wax

Hahahah Kongosho bana hawa hata bila kuweka hata mate, walishagandamana hawa!

Kwako na Babu inakuja worry not na hivi GMpolee ashaaga! Wax nshaikamata naiona
 
Ni masufuku kuishia kusema tu umewahiwa sema na nani tujue. Nakujua we Husininyo mtegaji. hahaha

naona umenirushia, eti Mrs Mbu loh............(but it sound so romantic)

hehehe! Ngoja nimuite russian aje aseme aliyeniwahi ili uamini vizuri. Lol,
halafu mi mtegaji wa nini? Fikisha salamu zangu kwa mbu.
 
babu utaweza nini?
Kumng'ang'ania GM ni kumtesa
anahitaji suluba huyu

sasa wewe na hilo jino lako moja kama pembe ya faru litafaa nini?

Orayt Golden mpolee popote pale ulipo.... Come this way.....
 
hehehe! Ngoja nimuite russian aje aseme aliyeniwahi ili uamini vizuri. Lol,
halafu mi mtegaji wa nini? Fikisha salamu zangu kwa mbu.
Hah ntaamini ukimtaja. Ndio we mtegaji wa hizi mambo.
Mbu, keshakuitika salamu yako. (Naye sijui kafichwa wapi tena)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…