Special Valentine For You Mch. Masanilo...

wish zingekuwa farasi
ungekuwa kwa Lizzy

kibabu mchunzi kimekushinda

hahahaha we unanichimba....
Mi na Lizzy tutamalizia zoezi letu uzeeni (kama Diego na Maria katika movie ya "love in the time of cholera")
saiv hanioni yupo busy sana na umaarufu wa hivi vibabu vya humu na pedejee wakina Matola na masharobaro.
Namsubiri uzeeni tu hao wote hawatafika lol
 

Hahahahaha. . .jG mapenzi hayazeeki ehhhh?
 
Mi nishawahiwa mrs mbu. Lol.
Ni masufuku kuishia kusema tu umewahiwa sema na nani tujue. Nakujua we Husininyo mtegaji. hahaha

naona umenirushia, eti Mrs Mbu loh............(but it sound so romantic)
 
Hhhhmm kwasababu kakuombea MJ1 na malaika nao wanashangilia basi namwambia MJ akwambie kua Lizzy kakubali. . .

Mamaa Lizzy ndio unachuliwa hivyo roho yaniuma kwakweli
 
Awwww. . .so sweet mami. . . NIMEPENDA KWELI!! Ahsante!!

Kweli wewe unafaa sana. Baba mchungaji asipokushukuru kwa zawadi ya ukweli basi namnyima msosi wiki akale kwa mama ntilie. . lolz

Msosi upi
 
Awwww. . .so sweet mami. . . NIMEPENDA KWELI!! Ahsante!!

Kweli wewe unafaa sana. Baba mchungaji asipokushukuru kwa zawadi ya ukweli basi namnyima msosi wiki akale kwa mama ntilie. . lolz

Nitamnunulia baibui na hijab
 
Nitty nenda kalale. . . ya wakubwa haya huyawezi.

Naomba nikunong'oneze kidogo shiiii. Huyu anayejiita Rev nimemkuta pale meeda bar amemkumbatia binti mmoja halafu wako bwi bwax. Siri yako lakini mamaa Lizzy
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…