Hahahaha we Konnie wewe. . .yani analamba mpaka unabaki mzizi tu?
Hhhmmm embu nidokeze kidogo. . napenda kujua, natamani kujua, NATAKA kujua kama kajitahidi mwenyewe au kalazimika kisa pendekezo katoa mamii MJ1.
Aksante baby sisy!!
Mchungaji, LIZZY KAKUBALI KUWA SPECIAL VALENTINE KWAKO.
Nawatakia valentine date njema nyie wawili. Special valentine wish is on its way.
JouneG nikupe Mwali, King'asti au Husininyo?! Hutojutia nakuahidi.
J. Gwalu usimwage Mchele !
Duh kweli vita kubwa sana, masikini!
So Rev Masa, hii mambo ya Zenji nipite nayo? kama kawa? Naiona hapa "Sauti za Busara"
Ukikatizia habari katikati sasa ndio mnaa. Embu toa full story. . . .ndo nashangaa
sitii neno
nisije itwa mnaa bure
wakati babu kafurahiiii
eti hao wa mafungu
pale kariakoo wanawapima kwenye kisadolini
Mh Tomaso wewe, hadi uguse!! Lizzy hebu be a lady, its a vaentine month eh!
Huyu JouneG naona ana mpango wa kuharibu mazima. Kwani hukumwambia Zenji ulionekana wakati ukiangalia possibilities ya kumnukisha mtoto kwa marashi ya pemba?!
(Kuanzia leo naomba niwe dadio wa hiari! Maana nnavyokutetea usikose mke!!)
By the way nimezaliwa siku ya ValentinoHahaha. . .kweli bahati imemdondokea baba mchungaji.
J. Gwalu usimwage Mchele !
By the way nimezaliwa siku ya Valentino
Mami we unataka kabla siku haijaisha niambiwe "kama sio MJ1 hata nisingekuwepo hapa na wewe.". . . . ??
By the way nimezaliwa siku ya Valentino
tena amchukue ampeleke papua New Guinea
wakaishi kwa raha mstarehe na Kombai tribe
Mami we unataka kabla siku haijaisha niambiwe "kama sio MJ1 hata nisingekuwepo hapa na wewe.". . . . ??
Asa we Mwali, ofa huwa zina maswali? Mbona waniangusha tena!!
Mind you Mch. C domo zege, akifunguka huchomoi my friend
Hahaha Mpenzi yaani siku akitamka hata sentensi inayofanana na hii, tell me, ndo atajua kuwa mimi ni mwanaharakati wa aina gani! Hatokaa aamini macho yake!